ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
muombe Mwenyezi Mungu kisha kasome Biblia Takatifu atakufunulia utaelewa nduguRoho mtakatifu anakaa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muombe Mwenyezi Mungu kisha kasome Biblia Takatifu atakufunulia utaelewa nduguRoho mtakatifu anakaa wapi?
hivi ndugu yangu ni lini utaukimbia ukweli? nakushauri usome Biblia Takatifu na umwombe Mungu akufunue akili kabla hujachelewa maana huhitaji kuweka kidole kwenye moto ukibisha kuwa hauunguziMpumbavuuu anapojaribu kuzungumzia Sayansi na conspiracy za kijima inatia kinyaa! Ni aibu uzi huu umewekwa jukwaa la intelejensia!
Ufunuo wa Yohana waelezea kila kitu. Muombe Mwenyezi Mungu kabla hujakisoma ili akufunue akili haya yote yapo humoUkweli upi ndugu..? Porojo za mitandaoni ambao kila mtu anaweza andika...??
Hebu nikuulize ni lini alisema hayo? Alimsapoti mtu gani..? Nani alikwambia micro-chip ni alama ya mpinga Kristo ? Hii umetolea wapi..?
Halafu mbona kitabu cha apocylpse cha Yohana hakiongelei mambo hayo..? Huu upuuzi umeutolea wapi..??
Tatu wewe ni dhehebu gani..?
Mleta mada ni Msabato. Wao ndiyo hujifanya kuwa wanafahamu mambo ya unabii sana na ni wafafanuzi wakubwa wa vitabu vya Ufunuo na Daniel. Kanisa zima lilianzishwa kutokana na vuguvugu la kutabiri kurejea kwa Yesu kule Marekani. Baada ya utabiri huo kushindikana na Yesu kutorejea hasa mwaka 1844, walikokotoa mahesabu ya kitabu cha Daniel upya wakatabiri tena wakashindwa. Tangu hapo Kanisa hili halijaachana na mambo ya unabii, kutabiri tabiri na conspiracy theories. Kila tukio jipya liwe natural au la hupitishwa katika chekecho la unabii; na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo ndiyo central theme.
Papa ni mtu wa muhimu sana kwa Waadventista Wasabato. Wanaamini kuwa Pope ndiye mpinga Kristo na mmiliki wa ile namba tata 666 na kwamba siku za mwisho kanisa katoliki litarudia hadhi yake liliyokuwa nayo hapo zamani wakati ule likitawala dunia na kuwapitishia hukumu za kifo akina Galileo Galilei. Wanaamini kuwa wao pekee ndiyo washika amri sahihi za Mungu na ndiyo pekee watakaokwenda mbinguni. Na wale wahafidhina hawali nyama, kunywa kahawa au chai, samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato na sheria nyingine za Kumbukumbu la Torati hasa zinazohusu siku ya Sabato. Siku ya Sabato hawaruhusiwi hata kupika! Kwa hiyo wokovu unafungamanishwa na sheria hizi za Musa jambo ambalo linapingwa na Wakristo wengi (Damu ya Yesu ndiyo ilimaliza kila kitu msalabani na mtu hataikosa mbingu eti tu kwa vila alikula samaki asiye na magamba!)
Wanatheolojia wengi na wachambuzi wa Biblia huwachukulia Wasabato kama aina mojawapo ya cult za Kikristo zilizofanikiwa sana. Badala ya kuamini Biblia pekee, wanaamini pia maandishi mengi (karibia vitabu 600) vya mama mmoja Mmarekani aitwaye Ellen G. White. Huyu wanamtambua kama nabii wao na baadhi ya vitabu vyake kama Pambano Kuu (The Great Controversy) vina hadhi kubwa sana kanisani. Pia wanaamini kuwa Yesu hakumaliza kazi ya kutukomboa msalabani bali kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) huko mbinguni ili kuendelea kututetea mbele ya Mungu Baba kuhusu dhambi zetu tunazoendelea kuzitenda hapa duniani.
Ova!
ndo "MAJESUTI"Well said. Rc na hao Illuminati wamoja kitambo sana
USIBISHE USILOKUWA NA UHAKIKA NALO.. KISA CHA POPE GROGORY VII NA WALIOMFUATIA KUAGIZA LUTHER NA WAFUASI WAKE WACHOMWE MOTO WANGALI HAI NI NINI?Daah....Umemaliza hata Darasa la saba ndugu..?
Fanya hima umalize hata shule ya msingi bana...Usipende kushinda kwenye lessoni na kula kande siku ya Sabato..Kande hudumaza ubongo ujue!
Sijui umeishia darasa la ngapi bt huwa naamini kuwa mtu yeyote member wa jf 99% atlest amemaliza kidato cha nne, pia naamini kwa elimu hiyo unaweza kufanya reasoning , hata kama ukishindwa basi google ipo.Inamaana hujui kuwa papa ni agent wa anti-Christ?@Chemtrail
amini amini nawaambia your sailing in the same sinking boat.Hon
Hongera sana, inabidi tuwasaidie walioko huko wa-come back to their senses, they have a very limited time left.
Mkuu, hawa watu wanapaswa kuonewa huruma. Wana ujinga mkubwa juu ya uelewa wa maandiko matakatifu hasa hiyo namba 666Ukweli upi ndugu..? Porojo za mitandaoni ambao kila mtu anaweza andika...??
Hebu nikuulize ni lini alisema hayo? Alimsapoti mtu gani..? Nani alikwambia micro-chip ni alama ya mpinga Kristo ? Hii umetolea wapi..?
Halafu mbona kitabu cha apocylpse cha Yohana hakiongelei mambo hayo..? Huu upuuzi umeutolea wapi..??
Tatu wewe ni dhehebu gani..?
Wewe inabidi nitumie computer kabisa..Hii simu itanifanya nisikujibu ipasavyo....Ufunuo wa Yohana waelezea kila kitu. Muombe Mwenyezi Mungu kabla hujakisoma ili akufunue akili haya yote yapo humo
Katika hali ya kushangaza, Papa Francis amejitokeza hadharani kuunga mkono matumizi ya vichipu vya RFID, yaani Radio Frequency Identification kwa wanadamu. Amesema tekinolojia hii inaleta matumaini makubwa katika kutatua matatizo mengi ya wanadamu na hivyo kuboresha ustawi wao.
Matamshi haya yanakuja huku akijua msimamo wa kiimani wa makanisa mengi ya Kikristo na hata kanisa Katoliki lenyewe. Makanisa mengi ya kikristo yanaamini kwamba RFID chipping ni alama ya mnyama au Shetani kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Ufunuo. Tukio hili kufuatana na imani ya makanisa haya, linaashiria mwisho wa dunia.
Katika kitabu cha Ufunuo13 msitari wa 16-18 tunasoma maneno haya, 16Naye alimlazimisha kila mtu, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, huru na mtumwa, kupokea chapa katika mkono wake wa kulia au paji la uso, 17 ili kila mtu asiweze kununua au kuuza mpaka awe na hiyo chapa, ambalo ndilo jina la huyo mnyama au namba ya jina lake. 18 Hii inahitaji hekima, kama mtu ana ufahamu aitafute namba ya huyo mnyama, kwa sababu ni namba ya kibinadamu. Namba yake ni 666.
Kwa wale wachunguzi watakubaliana na mimi kwamba namba hii inatumika sana siku hizi.Wapo ambao wanaitumia kwa uwazi kwenye bidhaa. Wanamuziki wa Rock hasa nchi za Ulaya na Marekani nao wanaitumia sana, lakini wengi wanatumia kwa siri, kwa hiyo inahitaji umakini mkubwa kuweza kujua kwamba ni 666. Hata logo ya Olympic ina namba 666. Matumizi ya namba hii kwenye barcodes ni wazi kidogo!
Katika hotuba yake ya kila wiki Vatican, Papa alizungumzia juu ya imani aliyonayo kwenye tekinolojia ya RFID. Aliwahakikishia waumini wake kwamba hakuna athari zozote za kiroho au kiafya zinazoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID. Hata hivyo inafahamika kwamba yapo matatizo makubwa ya kiafya yanayoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID vinapochoka, ikiwa ni pamoja na maumivu makali mwilini na majipu mwili mzima.
Aliendelea kwa kusema wamechunguza maandiko vizuri na hivyo wanaweza kusema kwamba hakuna ushahidi wowote unao-onyesha kwamba vichipu vya RFID ambacho kinawekwa mwilini kina muwakilisha Shetani. Nadhani alisahau Ufunuo 13:16-18! Aliongeza kusema RFID ni baraka kutoka kwa Mungu mwenyewe ambayo ameileta kwa wanadamu.
Aliwaomba wauminu wa Kanisa Katoliki waipokee baraka hii kwa moyo mmoja. Alimalizia kwa kusema kuanzia sasa itakuwa lazima kwa kila mfanyikazi wa Vatican kuwekewa kichipu cha RFID.
Kusoma zaidi:Google "Pope Francis goes public in support of RFID implantation. "
The issue watu wenye kuamini Dini kwa uoga always huchanganya madesa... The issue Mpinga kristo haihusiani na kukosa maarifa ili kutoangamia na solution za bible za kuepukana na majanga ni kujenga juu ya mwamba imara ukiumwa na nyoka uitizame sanamu ya nyoka same kama ile nembo Muhimbili hospital... Kula vyakula vilivyokatazwa kwenye agano la kale zaidi angalizo lipo kwenye ufunuo.. Sasa ikija volcano mnakufa kimbunga mnakufa mvua mnakufa,jua mnakufa,baharini mnakufa angani mnakufa... Maalifa labda kwenda Mars au Jupiter....Imeandikwa, "..watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.."