Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

Hiyo account una uhakika papa mwenyewe ndio anaisimamia ama kuitumia ? Kuna watu wa media wa ofc ya papa ndio wanahusika na vitu hivyo !

Viongozi wengi wa kisiasa , wasanii wakubwa kuna watu behind wanamiliki/wanaziongoza account zao za mitandao !!!
 

Kweli wewe hamna kitu mkuu ! Papa lini amekubaliana na ushoga?
Alichosema papa ni kwamba mashoga nao ni watoto wa Mungu ( kwa maana wameumbwa na Mungu) kwahiyo wasitengwe au kufanyiwa discriminations. cha zaidi tuwaombee tu.

Ulitaka papa awahukumu ? Yeye ni Nani Hadi atoe hukumu kwa kiumbe Cha mwenyezi Mungu?
 
Hawa ndio wanatuambia papa hana dhambi
 
Kwa hiyo Papa naye anapenda nyapu!
Ni wakati muafaka sasa kwa mapadri kuoa, maana porno na punyeto zitaharibu utumishi wao.
Wananyimwa haki zao za msingi kabisa ...
Hata masista nao hua wanapata shida sana tu ila wengi hua wanaachia tu mwisho wa siku.. Usicheze na nyege kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…