Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Papa ananichosha na mambo yake..khaaa!!😂😂
Papa katishaPapa kapenda papa
Wewe una matatizo ya akili?Unamfuatilia wa nini wakati wewe siyo mkatoliki?
Unachoshwa na mtu asiye kuhusu.
Wewe una matatizo ya akili?
Though Pope Francis has endorsed same-sex civil unions and LGBT+ rights, he continues to perpetuate discrimination against LGBT+ people https://www.dw.com/en/pope-francis-and-homosexuality-in-the-catholic-church-an-analysis/a-55371918
Pope Juliana pekee aliua zaidi ya watu laki mbili
Huo ndiyo ukweli kanisa limewahi kuwa na mapapa walevi, wauaji, wazinzi sana, yani machafu mengi. Usidhani mimi ninaongea kwasababu mimi labda dhehebu tofauti, nimezaliwa katika familia ya kikatoliki. Lakini ndiyo ukweli huo. Huyu papa juzi kakukabiliana na ushoga.
Sasa ukipanic shauri yako
Hawa ndio wanatuambia papa hana dhambiUsikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
Mungu ni imani tu.Kimsingi chunga sana imani yako kwa Mungu wako..Mana dini nyingi kwa sasa zimebaki majina tu..ila ndani ni uozo.
Zaidi tusihukumu ili tusije nadi kuhukumiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Angalia hapaPicha iko wapi? Nataka nilike na mimi.
www.instagram.com
Wananyimwa haki zao za msingi kabisa ...Kwa hiyo Papa naye anapenda nyapu!
Ni wakati muafaka sasa kwa mapadri kuoa, maana porno na punyeto zitaharibu utumishi wao.
Mambo yake kama Donald 😂😂Huyu papa wa sasa wakatoliki hawana hamu kwa vituko vyake😂😂😂😂😂😂😂😂