Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Mimi mwenyewe nimeliona hili sijui alimaanisha au la,Ili jambo la muhimu tusipende kuweka imani zetu kiasi hicho kwa binadamu.Kuna vitabu vyetu vitakatifu,hivyo ndiyo vinavyotuongoza.
 
Tofauti ya haki za mwanamke na mwanaume ni zipi? Tuelimishe
Unataka kama haki zipi na zlizoegemea upande upi?....Mana haki zipo za aina tofautitofauti mfno,haki za Kwenye ndoa,malezi,michezo n.k

Nazo zime egemea sehemu tatu..Dini,mila na serikali.
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.
Nimeacha kuhudhuria ibada za RC kitambo sana, hata sijui niende kanisa gani.
 
Mimi swali langu kwa wapinga ushoga huwa ni moja tu:Kama ushoga ni mbaya sana kwa nini Mungu mwenye uwezo wote pamoja na mamlaka yote anawaacha badala ya kuwaua wote?
Allah alishaweka utaribu wakutowaua watu wote kwa pamoja, isipokuwa mpaka ile siku litakapo pigwa Baragumu.

Ndiyo maana huwa kuna kuja majanga na magonjwa ya milipuko lakini hatufi watu wote.
 
Ndiyomaana huwa unafagilia sana habari za chura?

Acha uvivu wa kusoma Biblia, Mungu amesema yaacheni magugu na mazao yakue pa1 sababu anaamini ipo siku watabadilika, kuungama na kutubu dhambi zao na kuzaliwa upya kuwa viumbe vipya vya kumtukuza Bwana.

MATHAYO 13:24-30.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

Kama Mungu aliweka wazi tuyaache magugu na mazao yaishi pamoja maana anaamini ipo siku watabadilika iweje leo tutake kuyatenga hayo magugu (mashoga)? Na wengine wanaenda mbali zaidi kutaka kuwaua.
Kwa maandiko hayo basi Pope yupo sahihi...
 
Allah alishaweka utaribu wakutowaua watu wote kwa pamoja, isipokuwa mpaka ile siku litakapo pigwa Baragumu.

Ndiyo maana huwa kuna kuja majanga na magonjwa ya milipuko lakini hatufi watu wote.

Kama Allah amepanga kuwa Mashoga wauawe siku ya Baragumu wewe ni nani hadi uwe na mamlaka ya kutamani wasiishi kama watu wanavyofanya sasa hivi hapa Tanzania?Wewe ni nani hadi uwanyanyapae mashoga?Wewe ni nani hadi utamani wafutike duniani sasa hivi kama Watanzania wanavyotamani sasa hivi hapa JF?
 
Unataka kama haki zipi na zlizoegemea upande upi?....Mana haki zipo za aina tofautitofauti mfno,haki za Kwenye ndoa,malezi,michezo n.k

Nazo zime egemea sehemu tatu..Dini,mila na serikali.
Zinaweza zikawa zipo nyingi unaweza ukaorodhesha chache ili tujue ipi ni haki ya mwanamke na ipi ni ya mwanaume. Toa mifano michache
 
Sasa kama Mungu amesema yaacheni magugu na mazao yakue pamoja mbona mko busy kulaani magugu(Ushoga)?Mbona mko busy kukejeli magugu?Mbona mko busy kugandamiza magugu?Mbona mko busy kusema kuwa vyama fulani(Chadema) wanakumbatia magugu badala ya kuyaua?Mbona mko busy kukemea magugu?Mbona mko busy kuhakikisha kuwa magugu hayastawi?Mbona mko busy kunyanyasa magugu?Mbona mko busy kunyanyapaa magugu?Mbona mnatamani magugu yote yauawe?Mnaenda kinyume na neno la Mungu?Ninyi ni nani hadi mnapinga neno takatifu la Mungu?
Mungu karuhusu tukemeehuo uchafu ndiyomaana hatuuachi ukue bila ya kukanywa uache huo upumbavu.

2TIMOTHEO 3:16-17.

"Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema."

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Mungu karuhusu tukemeehuo uchafu ndiyomaana hatuuachi ukue bila ya kukanywa uache huo upumbavu.

2TIMOTHEO 3:16-17.

"Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema."

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Aliyesema hao maneno ni Timotheo na sio Mungu.
Halafu ona sasa biblia yenu inavyojicontradict...mara tuwaache mara tukemee.
 
Kwani wapagani na wasioamini wanapouliza maswali wakati wanahubiriwa neno la Mungu huwa wanapangwa katika hayo makundi matatu uliyoyaorodhesha na wahubiri wao?Sijawahi kumuona mhubiri yeyote akimuuliza muuliza swali kama ana nia ya kujua ukweli au ana nia ya kukejeli,etc.

Nakumbuka hata Yesu mwenyewe alikuwa anakejeliwa sana na wayahudi lakini alijibu maswali yao yote kwa ufasaha bila ya kuuliza nia ya muuliza swali hadi wayahudi waliouliza maswali kwa nia ya kukejeli wakawa wanaondoka wakiwa wameinamisha vichwa vyao chini kwa aibu!
Na ndomana yeye akaitwa Yesu na akapewa cheo cha utume....

Mimi sio muhibiri wala sina sifa ya cheo cha Yesu...

Hzo habari za Yesu na mayahudi umezitolea wapi kati umekili kwamba wewe si miongoni wa wanaomuamini Mungu na mitume wake...mbona unatolea mifano kupitia vtabu vyake??

Au na wewe ndo wakina Petro..?
 
Mungu karuhusu tukemeehuo uchafu ndiyomaana hatuuachi ukue bila ya kukanywa uache huo upumbavu.

2TIMOTHEO 3:16-17.

"Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema."

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Mungu anajichanganya yeye mwenyewe?Huku anasema kuwa Magugu yasiguswe na kule anasema kuwa Magugu yauawe!Mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote anawezaje kujichanganya yeye mwenyewe?
 
Kama Allah amepanga kuwa Mashoga wauawe siku ya Baragumu wewe ni nani hadi uwe na mamlaka ya kutamani wasiishi kama watu wanavyofanya sasa hivi hapa Tanzania?Wewe ni nani hadi uwanyanyapae mashoga?Wewe ni nani hadi utamani wafutike duniani sasa hivi kama Watanzania wanavyotamani sasa hivi hapa JF?
Wakati wa Baragumu hawa waliopo sasa hawata kuwepo ndiyo maana ni haki yao kuuwawa kwa sada.

Uwe unauliza maswali ya msingi.
 
Kama Mungu aliweka wazi tuyaache magugu na mazao yaishi pamoja maana anaamini ipo siku watabadilika iweje leo tutake kuyatenga hayo magugu (mashoga)? Na wengine wanaenda mbali zaidi kutaka kuwaua.
Kwa maandiko hayo basi Pope yupo sahihi...
[emoji28][emoji28][emoji28] kazi kweli kweli Akili hizi
.
Nisema tuu
"Overthinking will lead you to No where, Hata Huo upande uliopo ukiifikilia Sana utakurudisha Upande unao Upinga "

Mfano; unadhan Tundu Lissu Hafai kuwa raisi uki-over-think utasema Mbona kama anafaa hivi [emoji3][emoji3](Hio Ndio Over thinking)

Alafu Nikwambie dogo
"There is No Reality"
Sijui kama utanielewa Maskini ya Mungu

[emoji595][emoji595][emoji595]
 
Wewe ni nani hadi utamani wafutike duniani sasa hivi kama Watanzania wanavyotamani sasa hivi hapa JF?
Mimi Jurjani, nasema hivi, sababu ndiyo maana Allah wale wa mwanzo aliwaua kwa kifo kibaya sana.
 
Na ndomana yeye akaitwa Yesu na akapewa cheo cha utume....

Mimi sio muhibiri wala sina sifa ya cheo cha Yesu...

Hzo habari za Yesu na mayahudi umezitolea wapi kati umekili kwamba wewe si miongoni wa wanaomuamini Mungu na mitume wake...mbona unatolea mifano kupitia vtabu vyake??

Au na wewe ndo wakina Petro..?

Mimi sijakufananisha na Yesu.Nilitaka kukuonyesha kuwa kila kitu kina kanuni na misingi yake.Misingi katika dini ni kujibu maswali yote bila kujali swali hili ni la kejeli au ni swali la kujifunza na ndivyo Yesu alikuwa anafanya.

Habari za Yesu nimezitoa katika mafundisho ya Phylosophy.Unaelewa kuwa Yesu alikuwa ni mwana Phylosophy?Unaelewa kuwa Yesu anatajwa na kutumika sana katika mafundisho ya Phylosophy?Mimi namsoma,kumtambua na kumwamini Yesu kama mwana Phylosophy na si vinginevyo.
 
Kwa hiyo Mungu anajichanganya yeye mwenyewe?Huku anasema kuwa Magugu yasiguswe na kule anasema kuwa Magugu yauawe!Mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote anawezaje kujichanganya yeye mwenyewe?
Kwahiyo ukimkataza mtoto wako assibe au asizini hapo umemgusa au umemuelekeza na kumsaidia kuwa wizi si jambo jema na una athari kubwa ktk maisha yake kiujumla?

Yani unataka ulelewe lelewe kimayai mayai tu nakati hata Mungu mwenyewe anasema kuwa wataoingia ktk ufalme wake mbinguni si wa watu ronyoronyo bali majasiri na mahodari?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom