miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
Kwa hiyo mtu akiwa Shoga anakua sio ME wala KE?Kwamba Mashoga ni wana wa Mungu.
Mungu huyu aloumba Me na Ke??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kama haki zipi na zlizoegemea upande upi?....Mana haki zipo za aina tofautitofauti mfno,haki za Kwenye ndoa,malezi,michezo n.kTofauti ya haki za mwanamke na mwanaume ni zipi? Tuelimishe
Nimeacha kuhudhuria ibada za RC kitambo sana, hata sijui niende kanisa gani.Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.
Inasikitisha sana ila basi tu.
Allah alishaweka utaribu wakutowaua watu wote kwa pamoja, isipokuwa mpaka ile siku litakapo pigwa Baragumu.Mimi swali langu kwa wapinga ushoga huwa ni moja tu:Kama ushoga ni mbaya sana kwa nini Mungu mwenye uwezo wote pamoja na mamlaka yote anawaacha badala ya kuwaua wote?
Ndiyomaana huwa unafagilia sana habari za chura?
Acha uvivu wa kusoma Biblia, Mungu amesema yaacheni magugu na mazao yakue pa1 sababu anaamini ipo siku watabadilika, kuungama na kutubu dhambi zao na kuzaliwa upya kuwa viumbe vipya vya kumtukuza Bwana.
MATHAYO 13:24-30.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Allah alishaweka utaribu wakutowaua watu wote kwa pamoja, isipokuwa mpaka ile siku litakapo pigwa Baragumu.
Ndiyo maana huwa kuna kuja majanga na magonjwa ya milipuko lakini hatufi watu wote.
Zinaweza zikawa zipo nyingi unaweza ukaorodhesha chache ili tujue ipi ni haki ya mwanamke na ipi ni ya mwanaume. Toa mifano michacheUnataka kama haki zipi na zlizoegemea upande upi?....Mana haki zipo za aina tofautitofauti mfno,haki za Kwenye ndoa,malezi,michezo n.k
Nazo zime egemea sehemu tatu..Dini,mila na serikali.
Mungu karuhusu tukemeehuo uchafu ndiyomaana hatuuachi ukue bila ya kukanywa uache huo upumbavu.Sasa kama Mungu amesema yaacheni magugu na mazao yakue pamoja mbona mko busy kulaani magugu(Ushoga)?Mbona mko busy kukejeli magugu?Mbona mko busy kugandamiza magugu?Mbona mko busy kusema kuwa vyama fulani(Chadema) wanakumbatia magugu badala ya kuyaua?Mbona mko busy kukemea magugu?Mbona mko busy kuhakikisha kuwa magugu hayastawi?Mbona mko busy kunyanyasa magugu?Mbona mko busy kunyanyapaa magugu?Mbona mnatamani magugu yote yauawe?Mnaenda kinyume na neno la Mungu?Ninyi ni nani hadi mnapinga neno takatifu la Mungu?
Muulize ktk maombi ya dhati naye atakuonesha njia iliyo sahihi ktk kumuabudu na kumtukuza kiibada.Nimeacha kuhudhuria ibada za RC kitambo sana, hata sijui niende kanisa gani.
Aliyesema hao maneno ni Timotheo na sio Mungu.Mungu karuhusu tukemeehuo uchafu ndiyomaana hatuuachi ukue bila ya kukanywa uache huo upumbavu.
2TIMOTHEO 3:16-17.
"Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema."
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Na ndomana yeye akaitwa Yesu na akapewa cheo cha utume....Kwani wapagani na wasioamini wanapouliza maswali wakati wanahubiriwa neno la Mungu huwa wanapangwa katika hayo makundi matatu uliyoyaorodhesha na wahubiri wao?Sijawahi kumuona mhubiri yeyote akimuuliza muuliza swali kama ana nia ya kujua ukweli au ana nia ya kukejeli,etc.
Nakumbuka hata Yesu mwenyewe alikuwa anakejeliwa sana na wayahudi lakini alijibu maswali yao yote kwa ufasaha bila ya kuuliza nia ya muuliza swali hadi wayahudi waliouliza maswali kwa nia ya kukejeli wakawa wanaondoka wakiwa wameinamisha vichwa vyao chini kwa aibu!
Kwa hiyo Mungu anajichanganya yeye mwenyewe?Huku anasema kuwa Magugu yasiguswe na kule anasema kuwa Magugu yauawe!Mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote anawezaje kujichanganya yeye mwenyewe?Mungu karuhusu tukemeehuo uchafu ndiyomaana hatuuachi ukue bila ya kukanywa uache huo upumbavu.
2TIMOTHEO 3:16-17.
"Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema."
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Magufuli ni mkatoliki,asiende kusaliSisi CCM kuanzia leo hatuendi Ibada za Katoliki. Wamekuwa mabeberu.
Wakati wa Baragumu hawa waliopo sasa hawata kuwepo ndiyo maana ni haki yao kuuwawa kwa sada.Kama Allah amepanga kuwa Mashoga wauawe siku ya Baragumu wewe ni nani hadi uwe na mamlaka ya kutamani wasiishi kama watu wanavyofanya sasa hivi hapa Tanzania?Wewe ni nani hadi uwanyanyapae mashoga?Wewe ni nani hadi utamani wafutike duniani sasa hivi kama Watanzania wanavyotamani sasa hivi hapa JF?
[emoji28][emoji28][emoji28] kazi kweli kweli Akili hiziKama Mungu aliweka wazi tuyaache magugu na mazao yaishi pamoja maana anaamini ipo siku watabadilika iweje leo tutake kuyatenga hayo magugu (mashoga)? Na wengine wanaenda mbali zaidi kutaka kuwaua.
Kwa maandiko hayo basi Pope yupo sahihi...
Mimi Jurjani, nasema hivi, sababu ndiyo maana Allah wale wa mwanzo aliwaua kwa kifo kibaya sana.Wewe ni nani hadi utamani wafutike duniani sasa hivi kama Watanzania wanavyotamani sasa hivi hapa JF?
Na ndomana yeye akaitwa Yesu na akapewa cheo cha utume....
Mimi sio muhibiri wala sina sifa ya cheo cha Yesu...
Hzo habari za Yesu na mayahudi umezitolea wapi kati umekili kwamba wewe si miongoni wa wanaomuamini Mungu na mitume wake...mbona unatolea mifano kupitia vtabu vyake??
Au na wewe ndo wakina Petro..?
Kwahiyo ukimkataza mtoto wako assibe au asizini hapo umemgusa au umemuelekeza na kumsaidia kuwa wizi si jambo jema na una athari kubwa ktk maisha yake kiujumla?Kwa hiyo Mungu anajichanganya yeye mwenyewe?Huku anasema kuwa Magugu yasiguswe na kule anasema kuwa Magugu yauawe!Mungu mwenye uwezo wote na mamlaka yote anawezaje kujichanganya yeye mwenyewe?