Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Funny enough hizi akili za mwanadamu ni Mungu mwenyewe ndo ametupa. Halafu jiulize kwanini tunamwamini Mungu mmoja lakini dini zimejaa kibao tunapingana na sometimes kuuana? Ukizichunguza hizi dini kwa umakini utagundua kuwa yapo mengi ambayo si ya kimungu zaidi ya binadamu kujiwekea sheria zake kwa manufaa yake binafsi
 
Aliyesema hao maneno ni Timotheo na sio Mungu.
Halafu ona sasa biblia yenu inavyojicontradict...mara tuwaache mara tukemee.
Hakuna andiko lililoandikwa na Binadamu kwa mapenzi yake mwenyewe bali kila andiko lililoandikwa na Manabii lilitoka kwa Mungu kwa mwongozo wa Roho Mtakatifu.

Sasa usipoonywa au kukanywa tabia chafu utabadilikaje au utajuaje kuwa unachofanya ni upumbavu?

Lazima uonywe, ukanywe, ufundishwe na kukatazwa hata kama hautaki maana hiyo ndiyo sheria ya Mungu.

2Petro 1:19-21.


Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi unakana andiko lako la mwanzo?Unaelewa maana ya kuacha magugu na mazao yakue pamoja?Unajicontradict mwenyewe?Unaelewa kuwa kitendo cha biblia kujicontradict yenyewe inathibitisha kuwa huyo Mungu hayupo?
 
Astakafirilah laazin , atunae muda mrefu uyo lazima afukiwe ,
 
Huoni kama nabii anapingana na Mungu? Mungu ameshasema tuyaache magugu, nabii anakuja kusema tuyakemee. Tufuate lipi? Kufuata yote ndo huko kuchanganyana
 
Kwa hiyo Papa anaunga mkono ushoga?
Yaani Mashoga nao ni wana wa mungu!!
Papa hapo kazingua fulani hivi.
Vipi Pengo na Pole Pole hawajaita Press comference kufafanua?
 
Funny enough hizi akili za mwanadamu ni Mungu mwenyewe ndo ametupa
Sasa ulitaka akupe akili za aje Mbona kama Una mpangia hivi ?[emoji28]

Halafu jiulize kwanini tunamwamini Mungu mmoja lakini dini zimejaa kibao tunapingana na sometimes kuuana?
Dini zinazo mwamini Mungu huyo mmoj ni mbili tuu nadhan, India Kuna Dini Waanaabudu Ng'ombe nk nk, Kupigana na kuuana Ni Mambo ya kibinadam Sana Na sio kihalalisho kwamba hakuna Mungu
Mfano; kuku bandani wanadonyoana + Kupigana mpak kufa kwahivyo tuseme Mungu hayup kwakua kaacha kuku wanaua ?
Mbona itakua Sababu ya kitoto sana

Ukizichunguza hizi dini kwa umakini utagundua kuwa yapo mengi ambayo si ya kimungu zaidi ya binadamu kujiwekea sheria zake kwa manufaa yake binafsi
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Am glad Sana kwa kusikia hili

Dilek nimewahI kukuambia Mimi,
Misingi uliyo kulia ndio imekufikisha hapa
Hata Mimi Ningekuwa kama Wewe, Endapo ningekulia katika hio hio Misingi

Mimi binafsi Ukristo Siuelewi kabisa Kuna Mambo ni ya kibinadam kabisa unaona yamewekwa kama ulivyo sema hapo
Naonag watu wanaslim ila sio kuenda kwnye Ukristo

Sijui ni kitu gani Sijawahi Uliza Kwenye Dini yangu nikakosa kujibiwa na Kuelewa
 
Pope is final authority in Vatican
I don't know if i have understood your question, but what i meant is! There should be an official statement from Vatican, that would either criticize or support the statement from Pope
 
Tatizo ni kiingereza. Watu wengi humu hawalioni neno CIVIL hapo, labda wakitulia wataelewa maana ya sentensi nzima

CIVIL UNION kimantiki wasitengwe na jamii
 
Ni wapi katika biblia pameandikwa kuwa ni haki yao kuuawa sasa hivi kama unavyojinasibu?
Usiniulize kuhusu Biblia, niulize kuhusu Qur'aan. Nimeshaweka maandiko huko juu.

Maana kama Allah aliwaua, hiyo ndiyo stahiki yao, na ndiyo hukumu yao.
 
Dini zinazomuamini Mungu ni mbili tu, zipi hizo? Na una uhakika gani kuwa ni sahihi na nyingine ni za kupuuzi.

Halafu nikwambie mimi nimezaliwa kwenye misingi ya dini hasa... Roman Catholic ile yenyewe, baba mpiga kinanda kanisani, mseminari classmate wa askofu pengo ila yeye hakuweza kuwa padri yalimshinda. Kanisani lazima kila jumapili. Yaani ukatolliki naujua vizuri
 
Haya sasa wakatoliki, Papa wenu ndo kisha ruhusu mtinduane mitaroni.
 
Usiniulize kuhusu Biblia, niulize kuhusu Qur'aan. Nimeshaweka maandiko huko juu.

Maana kama Allah aliwaua, hiyo ndiyo stahiki yao, na ndiyo hukumu yao.
Unajielewa mkuu?Huu uzi unamzungumzia Papa kuhalalisha ushoga.Papa anatumia Quraan?Hapa tunachambua tamko la Papa kuangalia kama ni sawa kwa mujibu wa vitabu wanavyotumia wakatoliki pamoja na Papa.Sasa mambo ya Quraan yanatokea wapi tena?
 
Hii sasa Kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…