Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

unajua kilichowapa sodoma na gomora?
 
Unajibu maswali yangu kishabiki pasipo mantic yoyote na hili linathibitishwa na aya yako ya Mwisho.
Mantiki ya maelezo fulani huwa unayapima kwa mizani gani ?

Maana usiwe unatumia tamko "Mantiki" halafu hujui mipaka yake.

Kadhalika si "Mantic" bali sahihi ni "Mantiki" kwa Kiswahili cha kutoholewa au "Mantiq" kwa asili ya utamkwaji toka katika Kiarabu.
 
Unajua kilichowapata sodoma na gomora?
 
Unajua kilichowapata sodoma na gomora?

Ndugu kama Sodoma na gomora ilikuwa ni adhabu ya Allah kwa Mashoga kwa nini sasa hivi tunaweweseka na kuhaha juu ya mashoga badala ya kumwachia Allah atimize wajibu wake tena wa kuwaletea tena gomora na sodoma nyingine mashoga wa kileo?
 

Unajinasibu kuwa Maradhi huwa ni kengele ya kukukumbusha wapi nilipokosea na nirejee katika usahihi,kwani huyu Allah tunaehubiriwa kuwa ana upendo wote na nguvu zote ameshindwa kuniepusha kufanya makosa?Huyu huyu Allah tunaehubiriwa kuwa ana upendo mwingi sana kwa nini tena anipe mitihani tena mitihani migumu na ya kuudhi?Haya yote yanathibitisha kuwa Allah huyu hayupo bali ni hadithi na porojo za wanadamu tu
 
Usije ukaomba adhabu ya sodoma na gomora ikaja maana haichagui nani ni nani.
Labda nikufahamishe kitu.
Katika kila Zama kulikuwa na mitume wake na manabii wake.
Kuna Zama walikuwa wakifanya makosa Wana adhibiwa kwa kuangamizwa wote na wanakuja watu wengine.
Nafikir Zama za mtume Muhammad tuna bahati ya kutoadhibiwa kwa makosa yetu Kama watu wa zamani.
Ila haimaanishi kuwa Mungu anapenda tunayoyafanya..
Mashoga wanapatana adhabu hapa duniani na wakifa watapata adhabu zaidi.
Labda Kama watatubia wakiwa hai
Ndugu kama Sodoma na gomora ilikuwa ni adhabu ya Allah kwa Mashoga kwa nini sasa hivi tunaweweseka na kuhaha juu ya mashoga badala ya kumwachia Allah atimize wajibu wake tena wa kuwaletea tena gomora na sodoma nyingine mashoga wa kileo?
 

Mungu mwenye upendo wote pamoja na uwezo wote inawezekana vipi aumbe waja wenye hila?Mungu huyo mwenye uwezo wote,upendo wote pamoja na nguvu zote ameshindwaje kuumba waja wasio na hila?
 
Kwa nini unakua na kiherehere cha ku-address watenda dhambi wakati Mungu alieumba binadamu hao yupo?Unafikiri kuwa Mungu anaweza akaumba binadamu halafu binadamu huyo huyo atende dhambi halafu Mungu ashindwe kujua cha kumfanya binadamu huyo mpaka wewe ndiyo uchukue majukumu ya Mungu ya kuzungumzia adhabu za watenda dhambi?
 
Toka nimeiona hii taarifa kwenye website ya bbcswahili.com, nikawa nadhani papa amepatwa na kichaaa na nivyema pia angeolewa yeye ili awe mfano
 
Asipobadirika atapata hukumu yake. Ukristo umejengwa katika misingi ya upendo na kusamehe.
Upendooo kwa mashoga? hakuna ushahidi, wowote Yesu alizungumzia mashoga, maana ni mambo ambayo ata mnyamaa asie, na ufahamu, awezi fanya
 
Muwe mnajiongeza basi, kama hamkushtuka mtakuja kulia huko mbeleni, Paolo ni hatari sana
 
Naona umeishiwa hoja unarudia rudia maswali. Unapofanya madhambi huwa unalazimishwa au unafanya kwa hiari yako ? Ulipoumbwa hukuachwa hivi hivi,bali ulipewa akili ya utambuzi,akili ya kujua jema na baya na ukapewa uwezo wa kuacha baya na kufanya mema. Kwahiyo hapo wakulaumiwa ni wewe sababu umepewa kila kitu.

Unajua mpaka najiuliza kwanini huulizi maswali magumu na yenye tija badala yake unauliza maswali mepesi yasiyo na tija.

Hakuna mtihani ambao Allah anampa mja wake ambao mja huyo hawezi kufaulu, yaani kila mtu anapewa mtihani na Allah kulingana na "level" yake ya Imani, hata hao mashoga hufanya kwa hiari yao na kama walitenzwa nguvu lakini baadae wakaamua wenyewe kuendelea na tabia hiyo.

Nataka uje na hoja siyo huu utoto.
 
Mungu mwenye upendo wote pamoja na uwezo wote inawezekana vipi aumbe waja wenye hila?Mungu huyo mwenye uwezo wote,upendo wote pamoja na nguvu zote ameshindwaje kuumba waja wasio na hila?
Hizo hila hakuna aliye zaliwa nazo bali ni tabia watu wanakuwa nazo na siyo kila mtu anazo. Kama ilivyo tabia ya wizi au uzinzi.

Huwezi ukaea na hoja au akili timamu ukaupigia chapuo ushoga au usagaji, ndiyo maana hamna hoja wala hamjawahi kuwa na hoja.

Hili ukiachiloa mbali tu vitabu vya dini,ila akili tu ya kawaida ina kataa uhalali wa jambo hili.
 
Kwani wale sodoma na gomora walisulubiwa na nani?.
hivi ushoga nao unataka mpaka mungu akupe adhabu ndo ujue KUWA ushoga ni mbaya?
 

Narudia rudia maswali kwa sababu hujayajibu.Hujayajibu kwa sababu huna majibu yake.Huna majibu yake kwa sababu Allah unaemuhubiri ana walakini.Ana walakini kwa sababu hayupo.

Ninapofanya madhambi huwa nalazimishwa au nafanya kwa hiari yangu:Kwani huyo Allah tunaehubiriwa kuwa hashindwi kufanya chochote kile na ana upendo usiyo na kifani ameshindwa vipi kuniondolea hiyo hiari ya kufanya maovu?Yaani anifanye niwe mtenda mema tu?Alishindwa vipi wakati ana uwezo wa kufanya hivyo?

Nilipoumbwa sikuachwa hivi hivi,bali nlipewa akili ya utambuzi,akili ya kujua jema na baya na nkapewa uwezo wa kuacha baya na kufanya mema:Huyo Allah mwenye kuweza yote na mwenye upendo sana alishindwaje kunipa akili ya kutenda mema peke yake?

Hakuna mtihani ambao Allah anampa mja wake ambao mja huyo hawezi kufaulu:Inawezekana vipi Mungu mwenye upendo mkubwa kuliko bahari awape watu mitihani?
 
Hawa hawa. Ndo wameileta dini ya ukristo kwetu tukaona ile ya kwetu haifai Leo hii wanageuza maandiko, Leo tunasimama kuwapinga.. Nitaendaje kanisani wanakonihubiria wanako hubir na kuruhusu usodoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…