Mkuu, mimi navuja damu! Hili Holly Church wanadam wanabadilisha misingi yake.Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.
Inasikitisha sana ila basi tu.
Aiseee!!!!_Chuki za kidini mbaya sana.Sasa unataka source kutoka kwangu??
Ukiwa na akili unajiongeza, wee kama mkatoliki nikweli??
Unaingia chimbo unatafuta ukweli
Shida yenu ni wavivu wakufatilia mambo mnooo kila kitu mnataka kutafuniwa.
Tafuta weee utaipata iyo ..
Kwan mtoa mada kaitoa wapi????.
Umeona sasa
Km unataka kuondoka,ondoka haraka,tuache sisi.Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.
Inasikitisha sana ila basi tu.
Km umeulizwa source huwezi kuleta na bado umeshikilia topic utadhani una uhakika,hizo sio chuki tu za kidini?Umeona sasa
Chuki ya kidin iko wapi??
Hamtaki kuambiwa ukweli??
Maadili ya kiroho hayaruhusuKama hii habari ni ya kweli, naunga mkono alichosema huyo papa.
Labda tu niweke sawa, namuunga mkono si kwa sababu ya kuhusianisha swala hili na dini, lakini kwa sababu amezungumza swala ambalo ni dhahiri kwa macho ya kawaida bila hata kutumia biblia kuhalalisha.
Watu wazima walioridhia kufirana wenyewe vyumbani mwao, kwanini wawe ni swala linalohitaji kuwa tatizo la jamii nzima?
Watu wasifanywe ama wasifanyike kuwa wahanga (victimized) kwa sababu tu ya nani wanampenda au nani wanalala naye kitandani. Sio swala la jamii, ni swala binafsi.
Hayo mengine ya biblia mimi sijui. Hayanihusu sana.
Mkuu.. mzee wangu ni Mkatoliki.Mkuu unalosema ni kweli! Lakin kumbuka yule ni Baba mtakatifu influence yake ni kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho.
Itoshe kusema kama kweli hii habari ni ya kweli, kuna haja ya kujiongeza zaidi ya hapa nilipo, maana nilishajiongeza kitambo
Uliza mtoa mada akupe source , mimi ni mchangiaji kama wewe.Km umeulizwa source huwezi kuleta na bado umeshikilia topic utadhani una uhakika,hizo sio chuki tu za kidini?
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Saaa kwanini unapenda kukomalia kitu ambacho hujakitafiti??.Uliza mtoa mada akupe source , mimi ni mchangiaji kama wewe.
Jaamaaa acha uozo kichwan.Saaa kwanini unapenda kukomalia kitu ambacho hujakitafiti??.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Inauma sana!Mkuu.. mzee wangu ni Mkatoliki.
Ila vijana wake wote tumeamua kua wasabato .
Kilamoja alipoamua kusoma biblia aligundua yakwake.
Embu fikiria, ikiwa nihabari yakweli, alafu huyu nikiongozi mkuu wa kanisa , maana yake sasa hata zile maneno za mapadre kulawiti n.k sasa zimepata majibu..... Nikwamba sasa kanisa limeamua kuwapa nafasi wafiraji na wasagaji ,limeamua kutoa kiburi cha watu kuendelea hili sasa.
Roma ikisema maana yake Dunia inahitaj kutekeleza.
Unadhan miaka 10 ijayo tutakua na Dunia ya Aina gan???.
Kufirana na kusagana itakua nijambo lakawaida tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe uliye timamu kichwani ungeleta source ya habari hii ili kujitofautisha na mimi mwenye uozo kichwani.Jaamaaa acha uozo kichwan.
Wewe kwann unatetea kitu ambacho hujalitafit??
Hizi akili zako, naweza kubashiri hata 28/10/2020 utampigia nani Kura na kupitia chama gan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiumie ndugu yangu,Sio kweli.Hakuna Waraka wa hivyo.Hata ukimwuliza mtoa post kuwa akupe source hawezi kukupatia.Inauma sana!
Wewe huungi mkono?Uchunguze nn hapo??? Ilo nalo nilakuchunguza??
Ugundue nn??
Kiongozi wa Dunia kuunga mkono Ujinga wa namna hii
Wewe uliye timamu kichwani ungeleta source ya habari hii ili kujitofautisha na mimi mwenye uozo kichwani.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Usiumie ndugu yangu,Sio kweli.Hakuna Waraka wa hivyo.Hata ukimwuliza mtoa post kuwa akupe source hawezi kukupatia.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Uliza mtoa mada akupe source , mimi ni mchangiaji kama wewe.
Asante joo, umemsaidia dogo letu !!Pope Francis indicates support for same-sex civil unions Pope Francis indicates support for same-sex civil unions
Pope endorses same-sex civil unions for first time Pope endorses same-sex civil unions for first time