Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Pope gone crazy.

Pope mwanaharakati.
Hii kali san
Asante joo, umemsaidia dogo letu !!
Kuna thread nyingi sana humu kuhusu kanisa katoliki, kuanzia utakatishaji wa hela za Mafioso, hela za Nazi, hela za madawa ya kulevya n.k. n.k.
Dini bana ni wewe mwenyewe, ukianza kuabudu na kufuata cha watu basi kubaliana na mabadiliko, kwani si walikuletea wenyewe?! Anglican siku nyingi wako huko, bado wengine sasa, ndio maana wengine tukawa tunasema siyo kila kitu toka kwa mzungu lazima uige na ukifanye chako..
 
Hana mda mref yule mzee..hawajui wahafidhina wakikatolik .huwa hawajulikan..ila utashangaa tuu mtu chali
Sidhani, wenzako wameamuwa hayo sababu ya ching ching, kuongeza mapato kwenye dhehebu. Nyie Africa pesa hamna, kule kwao ulaya, marekani n.k. ndiko kwenye pesa na mashoga kule wanazo, DINI NI PESA BABA..
 
CNN)Pope Francis has declared support for civil unions for same-sex couples for the first time, according to the Catholic News Agency.

The Pope made the historic remarks in a new documentary film, "Francesco," which was released in Rome on Wednesday.

"Homosexual people have a right to be in a family. They're children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out or be made miserable over it," the Pope said in the film, the Catholic News Agency reported.

"What we have to create is a civil union law. That way they are legally covered," the Pope said.

Francis has suggested in past interviews that he is not against civil unions, but this is the first time as Pope that he has directly come out in favor of them.

As Archbishop of Buenos Aires, Francis advocated for same-sex civil unions as
Safi sana, amechelewa kutamka. Yesu hakusema neno moja kushtaki "washoga". Tunajua kwamba asilimia ndogo ya watu wamezaliwa kwa kuvutwa kwa jinsi wao, ni hali ya kiasili. Mtu wa aina hii (si mimi) ana haki ya kuamini Mungu alimwumba vile jinsi alivyo. Asipomlazimisha mtu mwingine na kumtendea maovu ana kila haki kuishi jinsi alivyoumbwa.

Bila shaka watetezi wengine wa Washoga katika nchi za magharibi watasikitika maana pale wanadai umoja wao ukubaliwe kama ndoa kamili. Hiyo si lazima lakini kuwaheshimu ni lazima (ni azimio la Kanisa Katoliki na makanisa mengi tangu miaka) wapewe nafasi kuishi kati yao kwa amani.
 
Wengine tulisema na tukaonya, jamani ukristu ni wa wazungu, ni wao, wanaweza badili namna ya kuamini na kuomba, nyie waafrika hasa mkitaka poa mkikataa shauri yenu, watu wakabisha mpaka mapovu, sasa hawai hawai yamefika, je watajitenga wasiotaka ya papa francis au watarudi kuabudu mizimu yetu ya mababu?!
Dini zote zilizopo duniani hakuna hata moja ni ya mwafrika zote zinatoka Mashariki ya kati (Uislamu, Ukristo, ujudea) ama bara Hindi na mashariki ya mbali (u buddha, Taoism n.k)
 
Dini zote zilizopo duniani hakuna hata moja ni ya mwafrika zote zinatoka Mashariki ya kati (Uislamu, Ukristo, ujudea) ama bara Hindi na mashariki ya mbali (u buddha, Taoism n.k)
Siyo Musa alitoka Misri? Na Yesu alitoka Misri (walipokimbia Mariamu na Yusufu kabla ya mauaji ya watoto wa Bethlehemu) kabla ya kuanza kazi ya kuhubiri pale Palestina / Israeli (iliyowahi kuwa mkoa wa Misri, nchi ya Kiafrika) ???
Dini zote zilizopo duniani hakuna hata moja ni ya mwafrika zote zinatoka Mashariki ya kati (Uislamu, Ukristo, ujudea) ama bara Hindi na mashariki ya mbali (u buddha, Taoism n.k)
 
Safi sana, amechelewa kutamka. Yesu hakusema neno moja kushtaki "washoga". Tunajua kwamba asilimia ndogo ya watu wamezaliwa kwa kuvutwa kwa jinsi wao, ni hali ya kiasili. Mtu wa aina hii (si mimi) ana haki ya kuamini Mungu alimwumba vile jinsi alivyo. Asipomlazimisha mtu mwingine na kumtendea maovu ana kila haki kuishi jinsi alivyoumbwa.

Bila shaka watetezi wengine wa Washoga katika nchi za magharibi watasikitika maana pale wanadai umoja wao ukubaliwe kama ndoa kamili. Hiyo si lazima lakini kuwaheshimu ni lazima (ni azimio la Kanisa Katoliki na makanisa mengi tangu miaka) wapewe nafasi kuishi kati yao kwa amani.
Sasa jamaa wamemtafsiri Papa Francis vibaya sana.Lkn yote tumwachie aliyetuumba na kutuweka duniani.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unataka source kutoka kwangu??


Ukiwa na akili unajiongeza, wee kama mkatoliki nikweli??

Unaingia chimbo unatafuta ukweli


Shida yenu ni wavivu wakufatilia mambo mnooo kila kitu mnataka kutafuniwa.


Tafuta weee utaipata iyo ..

Kwan mtoa mada kaitoa wapi????.
Source sii mtoa mada ameweka hapo CNN.
 
Usishangae mshikaji nae anapigwa pipe hivyo haoni ubaya kuwatetea wapigwa miti wenzie.

Kila siku hua tunasema hizi dini ni taasisi za kitapeli watu hamuelewi.
 
Usiumie ndugu yangu,Sio kweli.Hakuna Waraka wa hivyo.Hata ukimwuliza mtoa post kuwa akupe source hawezi kukupatia.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
CNN
IMG_20201022_065936.jpg
 
PAPA 'AASHIRIA KUUNGA MKONO' NDOA ZA WATU WA JINSIA MOJA.

Kauli ya Papa Francis inatofautiana msimamo wake wa awali kuhusu haki ya wapenzi wa jinsia moja
Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani Papa Francis amesema kwamba anafikiria wapenzi wa jinsia wanastahili kuruhusiwa "kuoana".

Wachambuzi wanasema kauli yake hiyo imeashiria wazi msimamo wake kuhusu uhusiano wa kimapenzi wa watu wa jinsia moja, katika makala yaliyoelekezwa na Evgeny Afineevsky.

"Watu wanaoshirika mapenzi ya jinsi amoja wana haki ya kuwa na familia,"alisema katika filamu, ambayoilioneshwa kwa mara ya kwanza siku ya Jumatano.

"Ni watoto wa Mungu nawana haki ya kuwa na familia. Hakuna mtu anayestahili kutengwa ama kufanywa ajihisi mnyonge kwa kuamua kuwa katika uhusiano wa aina hiyo.

"Tunachopaswa kuunda ni sheria ya umoja wa kiraia. ili kuwalinda kisheria."
Ameongeza kwamba "aliunga mkono wazo hilo", akiashiria nyakati alipokuwa Askofu mkuu wa Buenos Aires, akisema japo alipinga ndoa ya wapenzi wa jinsia moja katika sheria, aliunga mkono ulinzi wa kisheria kwa wapenzi wa jinsia moja.
Filamu ya Francesco, inayoangazi amaisha na kazi ya Papa Francis, ilioneshwa kama sehemu ya Tamasha la Filamu la Roma.

Japo kauli ya Papa kuhusu ulinzi wa kisheria kwa wapenzi wa jinsia moja iliangaziwa, filamu hiyo pia inamuonyesha akiwahimiza wanaume wawili mashoga kuhudhuria kanisa na watoto wao watatu.

Muandishi wa Biografia ya Papa Francis, Austen Ivereigh, ameiambia BBC kwamba "hakushangazwa" na kauli hiyo ya hivi punde.

"Huo ulikuwa msimamo wake alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires," alisema Bw. Ivereigh. "Siku zote alikuwa akipinga ndoa ya wapenzi wa jinsia moja. Lakini aliamini kanisa linapaswa kutetea sheria ya kuwalinda wapenzi wa jinsia."

Chini ya mafundisho ya sasa ya Katoliki, uhusiano wa wapenzi wajinsia moja unaangaziwa kama "tabia potofu"
Mwaka 2003, shirika la mafundisho la Vatican, Usharika wa Mafundisho ya Imani, lilisema kwamba "heshima kwa watu wa jinsia moja haiwezi kwa njia yoyote kuidhinisha ya uhusiano wa wapenzi wa jinsia moja au kutambuliwa kisheria kwa vyama vya wapenzi wa njinsia moja".

Msimamo uliopita wa Papa kuhusu mapenzi ya jinsia moja ulikuwa upi?

Tamko la Papa la hivi karibuni ni msururu wa maoni ambayo ametoa kuhusu haki za wapenzi wa jinsia moja - akiangazia msaada wanaostahili kupewa, lakini hajaidhinsha moja kwa moja mahusiano ya kimapenzi ya aina hiyo.

Mwaka 2013, katika kitabu cha Heaven and Earth, Papa alisema kuwa kusawazisha kisheria mahusiano ya jinsia moja na ndoa za jinsia moja itakuwa "upungufu wa kianthropolojia".

Pia alisema ikiwa wanandoa wa jinsia moja wataruhusiwa kuasili, "watoto huenda wakaathitika ... kwami kila mtu anahitaji kuwa na baba wa kiume na mama wa kike ambao wanaweza kuwasaidia utambulisho wao''.


Mwaka huo huo,alisisitiza msimamo wa Kanisa kwamba vitendo vya ushoga ni dhambi, lakini akasema mwelekeo wa ushoga sio.

"Ikiwa mtu anashiriki mapenzi ya jinsia moja na anamtafuta Mungu kwa nia njema, mimi ni nani nimhukumu?,"aliuliza.

Mwaka 2014 iliripotiwa kuwa Papa Francis aliashiria kuunga mkono ndoa ya wapenzi wa wa jinsia moja katika mahojiano, lakini ofisi yake ya mawasiliano ilikanusha taarifa hizo.

Na mwaka 2018, Papa Francis alisema "ana hofu" kuhusu mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa makasisi akiongeza kwamba ni "jambo zito".

BBCswaili
 
Kuweni makini sana na habari za BBC na CNN. Hawa wamesha karibu kwa miaka mingi sana kupotosha habari za kanisa na hawata weza. Ukitaka habari ya kanisa sikiliza radio Vatican au EWTN.
.."hata milango ya kuzimu haita lishinda.."
 
Back
Top Bottom