Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Ukimfuatilia vizuri bashite utagundua hata yeye hana marinda.

Mara nyingi watu wanaopinga ushoga huwa ni mashoga pia.

Binafsi sioni tatizo lolote mtu akiwa shoga. Haniathiri kwa kitu chochote.

Kila mtu ana mamlaka ya kutumia mwili wake atakavyo madhali hadhuru mtu mwingine.

Sio wajibu wa jamii au serikali au dini kumuelekeza mtu alale na nani kitandani kwake.
Mimi swali langu kwa wapinga ushoga huwa ni moja tu:Kama ushoga ni mbaya sana kwa nini Mungu mwenye uwezo wote pamoja na mamlaka yote anawaacha badala ya kuwaua wote?
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto.

Je, ndiyo mwanzo wa kanisa katoliki kuvunjika au imani zao ndiyo zitazidi?
Karibuni.

===
Papa Francis ameviunga mkono vikundi vya harakati vinavyotetea ndoa za jinsia moja akiwa Mjini Roma wakati wa Maazimisho ya uzinduzi wa filamu iliyoitwa Fransisco.

Aidha, katika kuelezea jambo hili Papa Fransis amesema "Mashoga (Wapenzi wa jinsia Moja) wana haki ya kuwa katika familia. Wao ni watoto wa Mungu. Hakuna mtu anayepaswa kuwabagua au kufadhaishwa juu yao. "

Aliongeza kuwa wakati alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires alipinga sheria ya kuidhinisha ndoa za jinsia moja lakini aliunga mkono aina fulani ya ulinzi wa kisheria kwa haki za wenzi wa jinsia moja.

Zaidi Soma:
Pope Francis has endorsed same-sex civil unions, saying in a documentary that homosexual people are 'children of God' and that they 'have the right to be in a family'.

His approval came midway through a feature-length film, titled Francesco, which had its premiere at the Rome Film Festival earlier today.

The film delves into issues Francis cares about most, including the environment, poverty, migration, racial and income inequality, and the people most affected by discrimination.

'Homosexual people have the right to be in a family. They are children of God. Nobody should be thrown out or be made miserable over it,' the 83-year-old said in one of his sit-down interviews for the film.

'What we have to have is a civil union law; that way they are legally covered.'

He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.

The Pope's remarks will come as a shock to millions of Roman Catholics who have long followed the doctrine that gay relationships are sinful and accepted the Church's stand against the worldwide advance of gay rights.

source: MailOnline
Hivi amna namna ya kuweza kuwasiliana na huyu mwana wa shetani kweli kweli yani nikapata ata tu semu ya kumwandikia sms.

Nikitu kilicho laniwa na Mungu toka enzi ya Sodoma na Gomora na hiki ndicho kilichomfanya Mungu kuteketeza miji hiyo. Sasa huyu ibilisi aliye muingia huyu mtumishi fake na kumjaza ujinga kihasi hii mpaka anakosa kufikiria kuwa watu wa jinsia moja hawawezi rutubisha mayai yao na kuzaa watoto sasa hiyo familia inaundwaje.

Kweli hizi ndo saa za mwana wa adamu kurudi na apa ndo pale Kristo alisema kuwa huwezi kuta mchongoma umezaa mizabibu ata kama ni mzuri kiasi gani.

Sasa nataka nione kama uku Afrika tutaunga mkono jambo hili la kishetani au laaa mana hao kina Papa mashetani wanao jifanya Mungu watu na kujidai kuwa wanawaomea watu msama kwa Mungu ndo watu wanao toa mawazo ya kidini saaaana na kujidai kuvuviwa na Roho mtakatifu kume ni kufata akili zao.

Nandika kwa uchungu sana sana jamani Huku duniani amna Dini zaidi ya wewe mtu kuwa na imani yako mwenyewe. Naomeni samahani kama nimekera mtu kwa uwandishi wangu.
 
Nimeuliza maswali lukuki hapo juu ila hujanijibu swali hata moja.Naomba nijibu maswali yangu please!
Some time maswali 10 yanaweza kujibiwa kwa jibu moja tuu...

Unamashaka na Muumba wako...?

Ishi na msemo huu Mungu si athumani (Papa),rejea Kwenye vitabu vyake vitukufu.
 
Hujanijibu maswali yangu.Hujanijibu maswali yangu kwa sababu huna majibu yake.Huna majibu yake kwa sababu hujui unachokitetea
 
Upo sawa kweli mkuu...😃😅

Polee sanaa,labda nikuulize unatumia kitabu gani kuamini uwepo na nguvu za Mungu?
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto.

Je, ndiyo mwanzo wa kanisa katoliki kuvunjika au imani zao ndiyo zitazidi?
Karibuni.

===
Papa Francis ameviunga mkono vikundi vya harakati vinavyotetea ndoa za jinsia moja akiwa Mjini Roma wakati wa Maazimisho ya uzinduzi wa filamu iliyoitwa Fransisco.

Aidha, katika kuelezea jambo hili Papa Fransis amesema "Mashoga (Wapenzi wa jinsia Moja) wana haki ya kuwa katika familia. Wao ni watoto wa Mungu. Hakuna mtu anayepaswa kuwabagua au kufadhaishwa juu yao. "

Aliongeza kuwa wakati alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires alipinga sheria ya kuidhinisha ndoa za jinsia moja lakini aliunga mkono aina fulani ya ulinzi wa kisheria kwa haki za wenzi wa jinsia moja.

Zaidi Soma:
Pope Francis has endorsed same-sex civil unions, saying in a documentary that homosexual people are 'children of God' and that they 'have the right to be in a family'.

His approval came midway through a feature-length film, titled Francesco, which had its premiere at the Rome Film Festival earlier today.

The film delves into issues Francis cares about most, including the environment, poverty, migration, racial and income inequality, and the people most affected by discrimination.

'Homosexual people have the right to be in a family. They are children of God. Nobody should be thrown out or be made miserable over it,' the 83-year-old said in one of his sit-down interviews for the film.

'What we have to have is a civil union law; that way they are legally covered.'

He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.

The Pope's remarks will come as a shock to millions of Roman Catholics who have long followed the doctrine that gay relationships are sinful and accepted the Church's stand against the worldwide advance of gay rights.

source: MailOnline
Tunakoelekea sio pazuri kabisa , kama viongozi wakubwa wa dini wanaruhusu mambo ambayo hayafai katika ufalme wa Mungu itakuwaje kwa sisi followers ?
 
Upo sawa kweli mkuu...[emoji2][emoji28]

Polee sanaa,labda nikuulize unatumia kitabu gani kuamini uwepo na nguvu za Mungu?
Kwa nini unaniuliza maswali kuhusu Mungu ninaemuamini?Kwani lazima niamini uwepo wa Mungu?Maswali yangu hayajibiki ni mpaka niwe naamini katika uwepo wa Mungu?
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto.

Je, ndiyo mwanzo wa kanisa katoliki kuvunjika au imani zao ndiyo zitazidi?
Karibuni.

===
Papa Francis ameviunga mkono vikundi vya harakati vinavyotetea ndoa za jinsia moja akiwa Mjini Roma wakati wa Maazimisho ya uzinduzi wa filamu iliyoitwa Fransisco.

Aidha, katika kuelezea jambo hili Papa Fransis amesema "Mashoga (Wapenzi wa jinsia Moja) wana haki ya kuwa katika familia. Wao ni watoto wa Mungu. Hakuna mtu anayepaswa kuwabagua au kufadhaishwa juu yao. "

Aliongeza kuwa wakati alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires alipinga sheria ya kuidhinisha ndoa za jinsia moja lakini aliunga mkono aina fulani ya ulinzi wa kisheria kwa haki za wenzi wa jinsia moja.

Zaidi Soma:
Pope Francis has endorsed same-sex civil unions, saying in a documentary that homosexual people are 'children of God' and that they 'have the right to be in a family'.

His approval came midway through a feature-length film, titled Francesco, which had its premiere at the Rome Film Festival earlier today.

The film delves into issues Francis cares about most, including the environment, poverty, migration, racial and income inequality, and the people most affected by discrimination.

'Homosexual people have the right to be in a family. They are children of God. Nobody should be thrown out or be made miserable over it,' the 83-year-old said in one of his sit-down interviews for the film.

'What we have to have is a civil union law; that way they are legally covered.'

He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.

The Pope's remarks will come as a shock to millions of Roman Catholics who have long followed the doctrine that gay relationships are sinful and accepted the Church's stand against the worldwide advance of gay rights.

source: MailOnline
Huu ni upotoshaji wa yaliyojiri. Papa hajakubaliana na ndoa ya jinsia moja. Ni sawa na Yesu alipoletewa mama aliyefumaniwa akizini wakitaka kumpiga mawe hadi afe. Yesu akawakataza kwa kuwaambia kuwa asiye na dhambi ndiye awe wa kwanza kurusha jiwe. Wote wakatawanyika. Yesu akamwambia mwanamke yule aende asifanye dhambi tena. Tafsiri yako potofu ni kwamba Yesu alikuwa anaafiki uzinzi.

Pia Yesu alikuwa akijumuika na kula na wakosefu wengi tu kama watoza ushuru ambao walikuwa malaghai wakitoza fedha nyingi kwa watu na kufikisha ofisini kiasi sahihi tu. Ile baki inaingia mfukoni. Yesu akasema mwenye afya hahitaji daktari. Mimi sikuja kuwaita wanyoofu bali wakosefu ili wapate kutubu. Kwa mantiki hiyo alimchagua mmoja wa watoza ushuru, Mateo, awe mfuasi wake. Huwezi kusema kwamba Yesu alikuwa anabariki matendo yao.

Vivyo hivyo, Papa hajabariki uonzo wa ndoa za jinsia moja. Anakaririwa out of context.
 
Kuweni makini sana na habari za BBC na CNN. Hawa wamesha karibu kwa miaka mingi sana kupotosha habari za kanisa na hawata weza. Ukitaka habari ya kanisa sikiliza radio Vatican au EWTN.
.."hata milango ya kuzimu haita lishinda.."
EWTN wana TV channel pia
 
Kwa nini unaniuliza maswali kuhusu Mungu ninaemuamini?Kwani lazima niamini uwepo wa Mungu?Maswali yangu hayajibiki ni mpaka niwe naamini katika uwepo wa Mungu?
.........ndo jibu lako apo lilipo.
.......ndio,kuamini au kutoamini inategemea na subconscious mind yako.
 
Some time maswali 10 yanaweza kujibiwa kwa jibu moja tuu...

Unamashaka na Muumba wako...?

Ishi na msemo huu Mungu si athumani (Papa),rejea Kwenye vitabu vyake vitukufu.
Tunaoma hilo andiko ndugu
 
.........ndo jibu lako apo lilipo.
.......ndio,kuamini au kutoamini inategemea na subconscious mind yako.
Sijakuelewa!Mimi siamini katika uwepo wa Mungu lakini mimi kutokuamini katika uwepo wa Mungu hainizuii mimi kukuuliza wewe unaeamini katika uwepo wa Mungu maswali yanayomuhusu Mungu.
 
Soon huyu pope atakufa au Atajiudhuru.

Wahafidhina sio watu wazuri.
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.
Usiachane na dhehebu, achana na dini yenyewe kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom