Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francisco kamaliza ule ubishi, nani (dini gani) anae tetea ushoga (mapenzi ya jinsia moja) kati ya Waislam & wa kristo?

Tuna kushukuru Papa Francisco kwa kututoa tongo tongo.
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto....
Ametumwa na mabeberu
 
Inasikitisha kwa vyombo vya habari kuwa natafsiri potofu
 
Inasikitisha kwa vyombo vya habari kuwa natafsiri potofu
Papa anatoa kauli tata kimakusudi ili kupima upepo. Mkija kutetea mnasema ni tafsiri potofu wakati ni wazi kabisa. Hawezi kwenda direct ataenda kidogokidogo miaka mingapi mbele utasikia msimamo unatangazwa.
 
Tunaoma hilo andiko ndugu
Umenielewa vibaya mkuu...sijamaansha haya maneno ni ktk maandko laaa...namemwambia huyo jamaa arejee Kwenye vtabu vitukufu ili aondoe shaka juu ya Muumba wake

Kuhusu huo msemo namaanisha,Mungu si binadamu au papa si Mungu
 
Mimi Ni Nani Mpaka Niwapinge Na Kuwapangia Binadamu Wenzangu Wafuate Ninachokiamini?!!!

Mimi Si Shoga Na Wala Sitatui Wenzangu Marinda....
Huku Mitaani Wamejaa Watu Wanaotatuliwa Na Kuwatatua Wenzao Kisiri Huku Wakiwa Wamevaa Ngozi Ya Kidini Na Kujifanya WachaMungu Mno....

Pamoja Na Kuangamizwa Sodom Na Gomorrah bado Wako Wanaoendeleza Hayo Mambo Kwa Hiyo Tuendelee Kuishi Kuheshimiana Na Kila Mtu Kushika Imani Yake Isiyomuathiri Na Kukwaza Uhuru Wa Mwingine....

Wallahu Aalaam(Mungu Ni Mjuzi Zaidi).

Muuza Al Kasus.
 
Sasa uchunguzi gani hapo unaotakiwa ufanyike ? Kwamba Papa hajasema hilo ? Au kwamba watu hawafanyi au unakusudia uchunguI gani ?
Nikwambie tu ndugu yangu kuwa Papa haungi mkono ushoga,isipokuwa msimamo wake unalenga kutowatenga,kwasababu kadiri ya Maandiko Matakatifu tunaelekezwa kuwa hata Yesu alichangamana na Wadhambi kiasi cha kunung'unikiwa na wale waliojihesabia haki,rejea Lk 15:1-2.Hivyo Papa Francis anaitaka jamii kutowatenga hao mashoga maana kwa kufanya hivyo inakuwa tumeshawahukumu wakati wa kuhukumu ni Mungu mwenyewe;Isitoshe sisi sote tu Wadhambi tunatofaitiana aina ya dhambi.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa ni upande wa wale jamaa wanaovaa makobazi uzi ungejaa huu
 
Wakatoliki wakiambiwa kuhusu dhehebu Lao wanaona kama wanasingizia ndani Yake Kuna tarakimu ya za Mnyama wanakataa na kupinga.
Hivi wewe ukiambiwa kuwa ni Mchawi wakati uchawi wenyewe huujui utakubali?.Lkn mimi nawashukuru na kuwapenda sana Wasabato kwasababu mnasaidia sana kututimizia Unabii sisi RC,Yesu alizungumza juu ya kuteswa,kusemwa vibaya,n.k.kwa Wafuasi wake hayo ndio yanatimilika leo.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Nyie watu subconscious mind zetu hazipo sawa kabsa hasa Kwenye maswala ya Imani yenu...

Kuna rafiki yangu mmoja alitakaga kubakwa na kiongozi wake mkubwa wa kanisa....na Bado adi Sasa anaimani nae,anasema huenda Mungu alimtuma au shetani alimpitia...huwa nabaki kucheka tuu
Wewe endelea kucheka kwasababu kucheka ni muhimu kiafya,inasaidia kuongeza siku za kuishi

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom