Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

CNN)Pope Francis has declared support for civil unions for same-sex couples for the first time, according to the Catholic News Agency.

The Pope made the historic remarks in a new documentary film, "Francesco," which was released in Rome on Wednesday.

"Homosexual people have a right to be in a family. They're children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out or be made miserable over it," the Pope said in the film, the Catholic News Agency reported.

"What we have to create is a civil union law. That way they are legally covered," the Pope said.

Francis has suggested in past interviews that he is not against civil unions, but this is the first time as Pope that he has directly come out in favor of them.

As Archbishop of Buenos Aires, Francis advocated for same-sex civil unions as an alternative when Argentina was discussing whether to legalize same-sex marriage.
Lazima atetee ye mwenyewe kitoweo
 
Umeona sasa

Chuki ya kidin iko wapi??

Hamtaki kuambiwa ukweli??
Katika watu wavivu kusoma na kuijua Imani yao ni Hawa wakristo...

Mambo yote wanawaachia viongozi wao...kuwauliza uliza maswali kwao mwiko...Yani wapowapo tuu

Yaani wameridhika kabisa kuwa kondoo,wanalisho pumba,vinyesi,manyasi na mauchafu mengne wala hawastuki
 
Sasa jamaa wamemtafsiri Papa Francis vibaya sana.Lkn yote tumwachie aliyetuumba na kutuweka duniani.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Nyie watu subconscious mind zetu hazipo sawa kabsa hasa Kwenye maswala ya Imani yenu...

Kuna rafiki yangu mmoja alitakaga kubakwa na kiongozi wake mkubwa wa kanisa....na Bado adi Sasa anaimani nae,anasema huenda Mungu alimtuma au shetani alimpitia...huwa nabaki kucheka tuu
 
Logic ni very simple!Sasa wewe unataka kuwatenga binadamu kama nani?Wewe ni nani hata uwatenge binadamu?Kama kuwa shoga ni kosa kwani Mungu anashindwa kuwafuta humu duniani?Yaani Mungu mwenye uwezo wote anashindwa kuwafuta mashoga kama anachukizwa nao?

Kama mtu kuwa shoga ni kosa kubwa sana basi Mungu afe nao kiume kwa sababu ana nguvu hadi ya kuwaua wote tena kwa wakati mmoja!Kama mtu kuwa shoga ni dhambi kubwa sana kwa nini Mungu anawalea badala ya kuwafuta?Ina maana Mungu amewashindwa?Kama binadamu anaweza kuua mtoto wake ambae ni shoga Mungu anashindwa nini kuwaua wote?Hata mimi ningekuwa Papa hawa mashoga ningewakabidhi kwa Mungu adili nao
 
Tunaposema Papa na Roman ni tawi la Shetani ....Muwe mnatuelewa !!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aya wakatoliki kazi kwenu kupigana miti waume kwa waume.

Wanawake ni wasaa wenu wa kusagana.

Lkn haya yote hatima yake ni KURUDI KWA YESU MAPEMA.

hamna Dhambi ambayo imeangamiza Dunia mara zote toka Nuhu, Sodoma na gomora kama hii ya KUFILANA NA KUSAGANA.

MUNGU ATUSAIDIE SANA.!!.
Logic ni very simple!Sasa wewe unataka kuwatenga binadamu kama nani?Wewe ni nani hata uwatenge binadamu?Kama kuwa shoga ni kosa kwani Mungu anashindwa kuwafuta humu duniani?Yaani Mungu mwenye uwezo wote anashindwa kuwafuta mashoga kama anachukizwa nao?

Kama mtu kuwa shoga ni kosa kubwa sana basi Mungu afe nao kiume kwa sababu ana nguvu hadi ya kuwaua wote tena kwa wakati mmoja!Kama mtu kuwa shoga ni dhambi kubwa sana kwa nini Mungu anawalea badala ya kuwafuta?Ina maana Mungu amewashindwa?Kama binadamu anaweza kuua mtoto wake ambae ni shoga Mungu anashindwa nini kuwaua Mashoga wote?Hata mimi ningekuwa Papa hawa mashoga ningewakabidhi kwa Mungu adili nao
 
Logic ni very simple!Sasa wewe unataka kuwatenga binadamu kama nani?Wewe ni nani hata uwatenge binadamu?Kama kuwa shoga ni kosa kwani Mungu anashindwa kuwafuta humu duniani?Yaani Mungu mwenye uwezo wote anashindwa kuwafuta mashoga kama anachukizwa nao?

Kama mtu kuwa shoga ni kosa kubwa sana basi Mungu afe nao kiume kwa sababu ana nguvu hadi ya kuwaua wote tena kwa wakati mmoja!Kama mtu kuwa shoga ni dhambi kubwa sana kwa nini Mungu anawalea badala ya kuwafuta?Ina maana Mungu amewashindwa?Kama binadamu anaweza kuua mtoto wake ambae ni shoga Mungu anashindwa nini kuwaua wote?Hata mimi ningekuwa Papa hawa mashoga ningewakabidhi kwa Mungu adili nao
Hiki ni chumba cha mtihani mwanafunzi ataazibiwa badala ya Kufanya mtihani kusahishiwa na kufeli, ww unataka mwalimu amuazibu mwanafunzi akiwa katika chumba cha mtihani?
 
Logic ni very simple!Sasa wewe unataka kuwatenga binadamu kama nani?Wewe ni nani hata uwatenge binadamu?Kama kuwa shoga ni kosa kwani Mungu anashindwa kuwafuta humu duniani?Yaani Mungu mwenye uwezo wote anashindwa kuwafuta mashoga kama anachukizwa nao?

Kama mtu kuwa shoga ni kosa kubwa sana basi Mungu afe nao kiume kwa sababu ana nguvu hadi ya kuwaua wote tena kwa wakati mmoja!Kama mtu kuwa shoga ni dhambi kubwa sana kwa nini Mungu anawalea badala ya kuwafuta?Ina maana Mungu amewashindwa?Kama binadamu anaweza kuua mtoto wake ambae ni shoga Mungu anashindwa nini kuwaua Mashoga wote?Hata mimi ningekuwa Papa hawa mashoga ningewakabidhi kwa Mungu adili nao
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Soma vizuri,kama subconscious yako ipo active utaelewa..

Mpango wa Mungu si mpango wa John au Juma....unasafari ndefu ya kujifunza
 
Hiki ni chumba cha mtihani mwanafunzi ataazibiwa badala ya Kufanya mtihani kusahishiwa na kufeli, ww unataka mwalimu amuazibu mwanafunzi akiwa katika chumba cha mtihani?
Sasa mbona binadamu wanang'ang'ania kuadhibu mwanafunzi ambae yupo kwenye chumba cha mtihani?!

Na pia Mungu mwenye upendo wote na uwezo wote hawezi kukupa mtihani tena Mungu huyo anajua kabisa majibu ya mtihani wako kabla hata hujafanya mtihani huo.Yaani najua kabisa kuwa mtihani huu utafeli na bado nikupe mtihani huo?
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Soma vizuri,kama subconscious yako ipo active utaelewa..

Mpango wa Mungu si mpango wa John au Juma....unasafari ndefu ya kujifunza
Nimeuliza maswali lukuki hapo juu ila hujanijibu swali hata moja.Naomba nijibu maswali yangu please!
 
Hiyo ndiyo haki na Uhuru wanaopigania watu wa ufipa [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye nchi hii na Afrika kwa ujumla hakuna chama ambacho kinapigania ushoga na kuunga mkono juhudi za mashoga kuliko CCM.Mheshimiwa Paul Makonda alipoanza kupambana na ushoga kupitia chama chake cha CCM, serekali ya CCM iliibuka mara moja na kusema kuwa ushoga ni jambo jema sana na vita aliyoianzisha Mheshimiwa Paul Makonda ni vita yake binafsi na wala siyo vita ya Serekali(Wote tunajua yalipotokea haya).Serekali kupitia waziri wake wa mambo ya ndani ilienda mbali zaidi na kudai kuwa Mashoga wapo salama Tanzania na ni sehemu sahihi ya Mashoga kuishi.Tena bila aibu serekali ya CCM iliyasema haya kwa maandishi!(Nimeambatanisha barua hiyo)

CCM hakiwezi kuwa chama cha Mungu kwa sababu kinaunga mkono juhudi za mashoga na mbaya zaidi CCM ilipinga kwa maandishi vita dhidi ya ushoga.Ni aibu na fedhea kwa chama cha CCM kuunga mkono ushoga na kupinga vita dhidi ya ushoga Tanzania.
432890.jpg
4322890.jpg
 
Kwenye nchi hii hakuna chama ambacho kinapigania ushoga na kuunga mkono juhudi za mashoga kuliko CCM.Mheshimiwa Paul Makonda alipoanza kupambana na ushoga kupitia chama chake CCM, serekali ya CCM iliibuka mara moja na kusema kuwa ushoga ni jambo jema sana na vita aliyoianzisha Mheshimiwa Paul Makonda ni vita yake binafsi na wala siyo vita ya Serekali(Wote tunajua yalipotokea haya).Serekali kupitiavwaziri wake wa mambo ya ndani alienda mbali zaidi na kudai kuwa Mashoga wapo salama Tanzania ni sehemu sahihi ya wao kuishi.Tena bila aibu serekali ya CCM iliyasema haya kwa maandishi!(Nimeambatanisha barua hiyo)

CCM hakiwezi kuwa chama cha Mungu kwa sababu kinaunga mkono juhudi za mashoga na mbaya zaidi CCM ilipinga kwa maandishi vita dhidi ya ushoga.Ni aibu na fedhea kwa chama cha CCM kuunga mkono ushoga na kupinga vita dhidi ya ushoga Tanzania.View attachment 1608184View attachment 1608186
Ukimfuatilia vizuri bashite utagundua hata yeye hana marinda.

Mara nyingi watu wanaopinga ushoga huwa ni mashoga pia.

Binafsi sioni tatizo lolote mtu akiwa shoga. Haniathiri kwa kitu chochote.

Kila mtu ana mamlaka ya kutumia mwili wake atakavyo madhali hadhuru mtu mwingine.

Sio wajibu wa jamii au serikali au dini kumuelekeza mtu alale na nani kitandani kwake.
 
Back
Top Bottom