Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Yeah awaache nyie muendelee kushikana makalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah awaache nyie muendelee kushikana makalio
Rafiki hawa watu wa dini hawataki maswali kwasababu hawana majibu. Lkn kutwa kuhubiri tumfate yesuKwani wapagani na wasiomuamini Mungu wanapohubiriwa ili wamwamini Mungu hawaruhusiwi kuuliza maswali yanayomuhusu Mungu?
Hawajui wanachokihubiri rafiki!Rafiki hawa watu wa dini hawataki maswali kwasababu hawana majibu. Lkn kutwa kuhubiri tumfate yesu
Ndio hivyo sasa jamaa amesharuhusu muoane. Kazi kwenu sasaSasa jamaa wamemtafsiri Papa Francis vibaya sana.Lkn yote tumwachie aliyetuumba na kutuweka duniani.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Kuwa padre ni mtu binafsi anachagua hayo maisha. Kabla hujaingia tayari unaelewa kuwa sitaruhusiwa kuoa ..hakuna anayelazimishwa kuwa padre na hakuna anae katazwa kuacha upadri endapo atashindwaKwa hiyo watu waf---ln tu
Huyu papa mbona anazingua
Wao Vatican wangeweka sheria iruhusu mapadre na maskofu waoe waweze kujamiana na wanawake
Maana kukaa Bila kufanya tendo la ndoa mtu unadata
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
HahahahhaaaaKwahiyo mnataka mashoga wapelekwe wapi?
Mashoga wameletwa na Mungu. Ni watoto wa Mungu [emoji419][emoji419]Hahahahhaaaa
Wanataka papa aseme mashoga wauwawe.
Kama kweli wanawachukia mashoga tungeona wanawaua hadharani bila hata kusubiri kauli ya papa. (halafu tuone kama watabaki salama).
Ni unafiki tu unatusumbua.
Afterall, kwani mashoga wameletwa na papa?
Mashoga wawafuge wao majumbani mwao, halafu lawama atupiwe papa.
Ironical.
Misinformation....Otorong'ong'o njoo useme kitu kwenye hii hoja naona sasa mmeamua kuunga juhudi za ushoga
Tofauti ya haki za mwanamke na mwanaume ni zipi? TuelimisheHapana...
Mwanamke hana haki sawa na mwanaume....na mtoto hana haki sawa na wazazi wake...
Au unazungumzia haki ipi?
HahahahahaaaaaaaaaMashoga wameletwa na Mungu. Ni watoto wa Mungu [emoji419][emoji419]
Mungu si dhaifu ila watu wanamvika sifa na tabia ambazo ni za uongo.Hahahahahaaaaaaaaa
Kuna jamaa mmoja hapo juu anasema kama Mungu anawachukia mashoga kwanini amewaacha hataki kuwaangamiza!
It makes sense to me as well.
Mungu awaangamize basi hao mashoga kama kweli anawachukia kwa dhati.
Akishindwa kuwaangamiza tuhitimishe kwamba aidha anawapenda au hana uwezo wa kuwaangamiza.
Na kama hana uwezo wa kuwaangamiza, basi biblia nzima imejaa maneno ya ulaghai na udanganyifu.
Tuliaminishwa mungu ni muweza wa yote, lakini kumbe hawezi kitu.
If the latter is not true, then God loves homosexuals.
Tuchagua moja kati ya hayo!
Ama ni dhaifu, ama anawapenda mashoga.
Ni kweli, japo sikubaliani na wewe hapo kwenye majambazi.Mungu si dhaifu ila watu wanamvika sifa na tabia ambazo ni za uongo.
Kama aliwaumba watu wote kwa upendo basi hachukii mashoga na kama angechukia angetokomeza ushoga usiwepo.
Mashoga ni ndugu zetu kama ambavyo wazinzi mabaharia, makahaba , majambazi walivyo ndugu zetu na hatujawahi kuwatenga.
Inawezekana upo sahihi lkn madhara yanayoletwa na uzinzi yapo mengi pia.Ni kweli, japo sikubaliani na wewe hapo kwenye majambazi.
Sikubaliani na wewe si katika muktadha wa kibiblia, lakini katika muktadha wa maadili ya kawaida kabisa.
Ujambazi una athari za kumpoka na kumdhuru mtu wa pili. Ujambazi hauna ridhaa dhidi ya mtu wa pili.
Ushoga haumdhuru mtu wa pili wala kupoka haki yake. Ni tendo lenye ridhaa.
Mengine uko sawa. Hasa hapo kwenye wazinzi.
Antichrist huyooHatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.
Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto.
Je, ndiyo mwanzo wa kanisa katoliki kuvunjika au imani zao ndiyo zitazidi?
Karibuni.
===
Papa Francis ameviunga mkono vikundi vya harakati vinavyotetea ndoa za jinsia moja akiwa Mjini Roma wakati wa Maazimisho ya uzinduzi wa filamu iliyoitwa Fransisco.
Aidha, katika kuelezea jambo hili Papa Fransis amesema "Mashoga (Wapenzi wa jinsia Moja) wana haki ya kuwa katika familia. Wao ni watoto wa Mungu. Hakuna mtu anayepaswa kuwabagua au kufadhaishwa juu yao. "
Aliongeza kuwa wakati alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires alipinga sheria ya kuidhinisha ndoa za jinsia moja lakini aliunga mkono aina fulani ya ulinzi wa kisheria kwa haki za wenzi wa jinsia moja.
Zaidi Soma:
Pope Francis has endorsed same-sex civil unions, saying in a documentary that homosexual people are 'children of God' and that they 'have the right to be in a family'.
His approval came midway through a feature-length film, titled Francesco, which had its premiere at the Rome Film Festival earlier today.
The film delves into issues Francis cares about most, including the environment, poverty, migration, racial and income inequality, and the people most affected by discrimination.
'Homosexual people have the right to be in a family. They are children of God. Nobody should be thrown out or be made miserable over it,' the 83-year-old said in one of his sit-down interviews for the film.
'What we have to have is a civil union law; that way they are legally covered.'
He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.
The Pope's remarks will come as a shock to millions of Roman Catholics who have long followed the doctrine that gay relationships are sinful and accepted the Church's stand against the worldwide advance of gay rights.
source: MailOnline
Halafu kwanini linapokuja swala la ushoga, kila mtu anakumbuka mistari yote ya biblia?Inawezekana upo sahihi lkn madhara yanayoletwa na uzinzi yapo mengi pia.
Naelewa ujambazi ulivyo nimeorodhesha hapo ili kuonyesha kuwa kama ushoga ni dhambi basi ujambazi pia ni dhambi. Hakuna tofauti
[emoji3][emoji3][emoji3] ni kwasababu wengi ni wazinzi, tena hakuna watu wanaopendana na kupeana support kama wazinzi.Halafu kwanini linapokuja swala la ushoga, kila mtu anakumbuka mistari yote ya biblia?
Hivi uzinzi haujakatazwa kwenye biblia? Naamini umekatazwa, na adhabu yake ni kifo.
Tuna jamii ya watu wanafiki ambao wana uwezo wa kutumia biblia kueneza chuki na kujikweza kuliko wengine.
Ninachokiona hapa ni ubinafsi tu.
Nani leo anaweza kukuelewa ukimwambia kwamba wazinzi wanastahili adhabu ya kifo kwa mujibu wa biblia?
Lakini kwenye ushoga aaaaahhh...kila mtu anageuka kuwa mwanateolojia!