Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

Kauli ya papa hata kwenye biblia HAKUNA.
huo ni mtizamo wake pia inawezekana ni AKILI ZA UZEE..
siwezi kuhukumu ukristo kwa kauli ya mtu mmoja.
Yaani kauli ya papa ya kusema kuwa kila mtu ni mtoto wa Mungu bila ya kuangalia ametenda dambi gani haipo kwenye biblia?
 
Bado Kuna wa Afrika wapumbavu wanaamini papa Ni mtakatifu.
Nyambafu kabisaaaaa.
 
Kama unaamini kuwa kujifunza imani za watu wengine haina faida basi haupo seroius au uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.Unaelewa kuwa tunapaswa kuheshimu imani za watu wengine?Unawezaje kuheshimu imani ambayo huijui?Yaani utaheshimu nini katika hiyo imani?

Mfano unatakiwa kujua kuwa walokole wanaamini katika kunena kwa lugha mpya katika imani yao na ukipita mahali ukakuta wananena kwa lugha mpya basi jua kuwa hawapigi makelele bali wananena kwa lugha mpya na ni vyema ukaheshimu makelele yao.Lakini ukiwa hujui juu ya hilo unaweza kuleta vurugu ukifikiri kuwa ni walevi wamekusanyika na wanasumbua.
Polee sana....Kwani kumuheshimu mtu lazima umjue..? Au ndo akili zako zilipoishia apo..?

Binafsi siwezi nikaheshimu ujinga...wala kuamini ujinga...wala kusoma ujinga...
Allah mwenye upendo mkubwa kuliko bahari na asieshindwa chochote kwa nini atupe option ya kushukuru au kufuru badala ya kutupa uwezo wa kushukuru tu?Upendo wake na uwezo wake wa kutokushindwa kufanya lolote uko wapi hapo?

Mungu anaehubiriwa kuwa mwenye upendo mkubwa kuliko bahari na asieshindwa chochote kwa nini aruhusu watu wake wapendwa including mitume wateseke?Alishindwa kuzuia mateso?

Kwa nini huyu Allah anaehubiriwa kuwa amejaa upendo awe mbaguzi?Yaani uwezo wa kutenda mema tu wapewa malaika peke yao ila binadamu wapigwe stop?

Kwa nini huyu Allah anaehubiriwa kuwa hashindwi chochote na aliejaa upendo atoe mitihani wakati ana uwezo na upendo wa kutufanya tuwe watu wa kufaulu tu?Tena cha ajabu kabisa ni kwamba anatoa mitihani ambayo anakuwa ameshajua kabisa kuwa tutafaulu au tutafeli!Huyu ni Mungu au ni kibonzo?
We unafikiri kwanini walioanzsa mifumo ya elimu wameweka mitihani..? Afu wengne wanafeli na wengne wanafaulu..kwann wasingefanya wote tufaulu tupate vyeti vzur,tupate kazi nzur tuenjoy maisha.

Wazazi wanatoa pesa nying afu mwanafunzi anafeli,kwann wastoe tu cheti bila kufanya mitihani....kwann?

We huoni kunaubaguzi apo wengne wafeli na wengne wafaulu...wengne wasome PCM na PCB na wengne wasome HGK na HKL..huoni ubaguzi huo???

Eeeh... kwanini hvyo?
 
Wewe sio mkatoliki,mkatoliki halisi hawezi kumdharau Papa hivi!
Hawa Mashoga wanaofukuana wana kundi lao..Wengi wao wana mapesa Mengi nadhani wamemnunua huyu Papa au systems za Kanisa zimehongwa.KATIKA HALI ambayo kanisa Katoliki linazuia Mapadre au ma sister kuoa na kuwaacha na hamu miaka nenda rudi inakuaje wanaruhusu watu kugeuzana kinyume na umbo la Mungu????

HAKI GANI YA KIPUMBAVU KUGEUZANA NA wakati Mungu aliweka maeneo mazuri tu kutumia kwa ajili hiyo?? Hivi Mungu anaishi umbali gani jameni asifanye kitu ndio mana wakati mwingine nahisi kama hapa Dunian mauchawi haya yanatupumbaza wala hakuna cha Ulolole wala Dini ni ujinga tu...


Huyu Papa anatakiwa afukuzwe au alazimishwe kujiuzulu kama sivyo kwa kauli ile kanisa hili halifai kabisa...Kuunga ushoga wakati wanawake wapo wana sehemu nzuri tu zina radha safi...

JINGA SANA..pumbaaaavu kabisa
 
Polee sana....Kwani kumuheshimu mtu lazima umjue..? Au ndo akili zako zilipoishia apo..?

Binafsi siwezi nikaheshimu ujinga...wala kuamini ujinga...wala kusoma ujinga...

We unafikiri kwanini walioanzsa mifumo ya elimu wameweka mitihani..? Afu wengne wanafeli na wengne wanafaulu..kwann wasingefanya wote tufaulu tupate vyeti vzur,tupate kazi nzur tuenjoy maisha.

Wazazi wanatoa pesa nying afu mwanafunzi anafeli,kwann wastoe tu cheti bila kufanya mitihani....kwann?

We huoni kunaubaguzi apo wengne wafeli na wengne wafaulu...wengne wasome PCM na PCB na wengne wasome HGK na HKL..huoni ubaguzi huo???

Eeeh... kwanini hvyo?

Polee sana....Kwani kumuheshimu mtu lazima umjue..?

Kwani unapoambiwa kuwa unatakiwa kumuheshimu Rais si lazima ujifunze ujue kuwa Rais akipita inakubidi usimame?Utajuaje kuwa Rais akipita inakubidi usimame bila ya kujifunza?Kwani unapoambiwa kuwa unatakiwa uheshimu bendera si lazima ujifunze ujue kuwa bendera ikiwa inapandishwa au kushushwa ni lazima usimame mguu sawa?Usipojifunza utayajulia wapi haya?!
 
Sijui kama unanielewa .
Kuna sehem kwenye Bible imeandikwa "dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama bendera nitazisafisha zitakuwa nyeupe kama sufu"

Pop anajua maandiko , imeandikwa pia ,,msihukumu ili msije kuhukumiwa"

Anachofanya Pop ni kunawa mikono ili asijekuwajibishwa kwa kutomwonya mwenye dhambi.


Ukisoma Bible utayaona haya.( kama una imani ya kikristo)
Yehova aliangamiza, mashoga pale sodomaa na Gomora, shoga hawezi kuacha ushoga wake maana ameshaharibika tayariii, ameharibu mfumo wa maumbile yake anatakiwaaa AKAUMBWE TENA sasa hilo haliwezekani , hivyo kujifanya eti unaweza mbadilisha shoga huko, ni kujitoaaa akili, Papa kusema Mashoga ni watoto wa Mungu huko ni kuchanganyikiwa
 
Polee sana....Kwani kumuheshimu mtu lazima umjue..?

Kwani unapoambiwa kuwa unatakiwa kumuheshimu Rais si lazima ujifunze ujue kuwa Rais akipita inakubidi usimame?Utajuaje kuwa Rais akipita inakubidi usimame bila ya kujifunza?Kwani unapoambiwa kuwa unatakiwa uheshimu bendera si lazima ujifunze ujue kuwa bendera ikiwa inapandishwa au kushushwa ni lazima usimame mguu sawa?Usipojifunza utayajulia wapi haya?!
Soma ulichoandka?

Kwani huyo raisi anaheshimiwaje na asie kuwa raisi anaheshimiwaje??
 
Kama Mungu aliweka wazi tuyaache magugu na mazao yaishi pamoja maana anaamini ipo siku watabadilika iweje leo tutake kuyatenga hayo magugu (mashoga)? Na wengine wanaenda mbali zaidi kutaka kuwaua.
Kwa maandiko hayo basi Pope yupo sahihi...
Mimi kama mzazi hayo maandishi yenu sijui magugu...sijui wache yakue...acheni wenyewe! Kesho watu watavua kila kitu na kuingia mitaani walivyo zaliwa, itatafutwa mistari ya biblia ya utetezi.

Dunia inapungukiwa nini kwa kudumisha ukandamizaji wa mashoga na tabia zake?

Kuna vitu vya kuonea huruma...ushoga? Kwamba unaogopa mtu atateseka sana kumkatazia kuwa shoga.

Wanaoishi kishoga wataendelea kuwepo, lakini ndio hadi tulazimishe tuhalalishe tuaminishe waumini waone ni jambo jema?

Kesho si tutaambiwa tuwapokee hadi wachungaji wa hali hizo.

Sijui, huenda ni muumini pekee nisiye jielewa.
 
Bora kuna ufafanuzi hapo bandiko #271 maana wengine tulishaanza kuona huenda kuna agenda ya makusudi kusambaratisha kanisa katoliki.

Lakini bado ninajiuliza vipi muongo huu unajikita sana kulealea mashoga kama vile wagonjwa wa kuonewa huruma?

Mara nchi maskini zinatishiwa vikwazo kwa kukataza ushoga, mara watetezi wa haki za binadamu nao.

Kwanini kutumia rasilimali huko badala ya wakimbizi, waathirika wa vita na majamga mengine?

Huu ni ujuaji wa kidunia kuzidi au nini?
 
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.

Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga kukubalika, na kusomeka kwenye hichi kitabu kitakatifu kuwa sodom na gomorrah kuchomwa moto.

Je, ndiyo mwanzo wa kanisa katoliki kuvunjika au imani zao ndiyo zitazidi?
Karibuni.

=======

Papa Francis ameviunga mkono vikundi vya harakati vinavyotetea ndoa za jinsia moja akiwa Mjini Roma wakati wa Maazimisho ya uzinduzi wa filamu iliyoitwa Fransisco.

Aidha, katika kuelezea jambo hili Papa Fransis amesema "Mashoga (Wapenzi wa jinsia Moja) wana haki ya kuwa katika familia. Wao ni watoto wa Mungu. Hakuna mtu anayepaswa kuwabagua au kufadhaishwa juu yao. "

Aliongeza kuwa wakati alipokuwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires alipinga sheria ya kuidhinisha ndoa za jinsia moja lakini aliunga mkono aina fulani ya ulinzi wa kisheria kwa haki za wenzi wa jinsia moja.

Zaidi Soma:
Pope Francis has endorsed same-sex civil unions, saying in a documentary that homosexual people are 'children of God' and that they 'have the right to be in a family'.

His approval came midway through a feature-length film, titled Francesco, which had its premiere at the Rome Film Festival earlier today.

The film delves into issues Francis cares about most, including the environment, poverty, migration, racial and income inequality, and the people most affected by discrimination.

'Homosexual people have the right to be in a family. They are children of God. Nobody should be thrown out or be made miserable over it,' the 83-year-old said in one of his sit-down interviews for the film.

'What we have to have is a civil union law; that way they are legally covered.'

He added that he 'stood up for that' in an apparent reference to his time as archbishop of Buenos Aires when he opposed legislation to approve same sex marriages but supported some kind of legal protection for the rights of gay couples.

The Pope's remarks will come as a shock to millions of Roman Catholics who have long followed the doctrine that gay relationships are sinful and accepted the Church's stand against the worldwide advance of gay rights.

source: MailOnline
Hitimisho la hoja yako ni 'flawed'. You can't rely on a paper's opinion on what the pope said 'to mean what he said'. This is erroneous reasoning. Nilitegemea ungeleta 'original statement ya pope' inayosema "anatetea ushoga na ndoa za jinsia moja". Kuna hii source ambayo ni 'authority' katika mambo ya Kanisa Katoliki inasema hivi:

What did Pope Francis say about civil unions? A CNA Explainer​


“Francesco,” a newly released documentary on the life and ministry of Pope Francis, has made global headlines, because the film contains a scene in which Pope Francis calls for the passage of civil union laws for same-sex couples.
Some activists and media reports have suggested that Pope Francis has changed Catholic teaching by his remarks. Among many Catholics, the pope’s comments have raised questions about what the pope really said, what it means, and what the Church teaches about civil unions and marriage. CNA looks at those questions.


What did Pope Francis say about civil unions?
During a segment of “Francesco” which discussed Pope Francis’ pastoral care of Catholics who identify as LGBT, the pope made two distinct comments.
He said first that: “Homosexuals have a right to be a part of the family. They’re children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.”
While the pope did not elaborate on the meaning of those remarks in the video, Pope Francis has spoken before to encourage parents and relatives not to ostracise or shun children who have identified as LGBT. This seems to be the sense in which the pope spoke about the right of people to be a part of the family.
Some have suggested that when Pope Francis spoke about a “right to a family,” the pope was offering a kind of tacit endorsement of adoption by same-sex couples. But the pope has previously spoken against such adoptions, saying that through them children are “deprived of their human development given by a father and a mother and willed by God,” and saying that “every person needs a male father and a female mother that can help them shape their identity.”

On civil unions, the pope said that: “What we have to create is a civil union law. That way they are legally covered.”
“I stood up for that,” Pope Francis added, apparently in reference to his proposal to brother bishops, during a 2010 debate in Argentina over gay marriage, that accepting civil unions might be a way to prevent the passage of same-sex marriage laws in the country.

What did Pope Francis say about gay marriage?
Nothing. The topic of gay marriage was not discussed in the documentary. In his ministry, Pope Francis has frequently affirmed the doctrinal teaching of the Catholic Church that marriage is a lifelong partnership between one man and one woman.
While Pope Francis has frequently encouraged a welcoming disposition to Catholics who identify as LGBT, the pope has also said that “marriage is between a man and a woman,” and said that “the family is threatened by growing efforts on the part of some to redefine the very institution of marriage,” and that efforts to redefine marriage “threaten to disfigure God's plan for creation."

Why are the pope’s comments about civil unions a big deal?
While Pope Francis has previously discussed civil unions, he has not explicitly endorsed the idea in public before. While the context of his quotes in the documentary is not fully revealed, and it is possible the pope added qualifications not seen on camera, an endorsement of civil unions for same-sex couples is a very different approach for a pope, one that represents a departure from the position of his two immediate predecessors on the issue.
In 2003, in a document approved by Pope John Paul II and written by Cardinal Joseph Ratzinger, who became Pope Benedict XVI, the Congregation for the Doctrine of the Faith taught that “respect for homosexual persons cannot lead in any way to approval of homosexual behaviour or to legal recognition of homosexual unions.”
Even if civil unions might be chosen by people other than same-sex couples, like siblings or committed friends, the CDF said that homosexual relationships would be “foreseen and approved by the law,” and that civil unions “would obscure certain basic moral values and cause a devaluation of the institution of marriage.”
“Legal recognition of homosexual unions or placing them on the same level as marriage would mean not only the approval of deviant behaviour, with the consequence of making it a model in present-day society, but would also obscure basic values which belong to the common inheritance of humanity,” the document concluded.
The 2003 CDF document contains doctrinal truth, and the positions of John Paul II and Benedict XVI on how best to apply the Church’s doctrinal teaching to policy questions regarding the civil oversight and regulation of marriage. While those positions are consistent with the long-standing discipline of the Church on the issue, they are not themselves regarded as articles of faith.

Some people have said what the pope taught is heresy. Is that true?
No. The pope’s remarks did not deny or call into question any doctrinal truth that Catholics must hold or believe. In fact, the pope has frequently affirmed the Church’s doctrinal teaching regarding marriage.

The pope’s apparent call for civil union legislation, which seems to be different from the position expressed by the CDF in 2003, has been taken to represent a departure from a long-standing moral judgment that Church leaders have taught supports and upholds the truth. The CDF document said that civil union laws give tacit consent to homosexual behavior; while the pope expressed support for civil unions, he has also spoken in his pontificate about the immorality of homosexual acts.
It is also important to note that a documentary interview is not a forum for official papal teaching. The pope’s remarks were not presented in their fullness, and no transcript has been presented, so unless the Vatican offers additional clarity, they need to be taken in light of the limited information available about them.

We have same-sex marriage in this country. Why is anyone talking about civil unions?
There are 29 countries in the world that legally recognize same-sex “marriage.” Most of them are in Europe, North America, or South America. But in other parts of the world, the debate over the definition of marriage is just getting started. In parts of Latin America, for example, the redefinition of marriage is not a settled political topic, and Catholic political activists there have opposed moves to normalize civil union legislation.
Opponents of civil unions say they are usually a bridge to same-sex marriage legislation, and marriage campaigners in some countries have said they are concerned that LGBT lobbyists will use the pope’s words in the documentary to advance a pathway to same-sex marriage.

What does the Church teach about homosexuality?
The Catechism of the Catholic Church teaches that those who identify as LGBT “must be accepted with respect, compassion, and sensitivity. Every sign of unjust discrimination in their regard should be avoided. These persons are called to fulfill God's will in their lives and, if they are Christians, to unite to the sacrifice of the Lord's Cross the difficulties they may encounter from their condition.”
The Catechism elaborates that homosexual inclinations are “objectively disordered,” homosexual acts are “contrary to the natural law,” and those who identify as lesbian and gay, like all people, are called to the virtue of chastity.

Are Catholics bound to agree with the pope on civil unions?
Pope Francis’ statements in “Francesco” do not constitute formal papal teaching. While the pope’s affirmation of the dignity of all people and his call for respect of all people are rooted in Catholic teaching, Catholics are not obliged to support a legislative or policy position because of the pope’s comments in a documentary.
Some bishops have expressed that they are awaiting further clarity on the pope’s comments from the Vatican, while one explained that: “While Church teaching on marriage is clear and irreformable, the conversation must continue about the best ways to reverence the dignity of those in same–sex relationships so that they are not subject to any unjust discrimination.”

source: What did Pope Francis say about civil unions? A CNA Explainer
 
Yehova aliangamiza, mashoga pale sodomaa na Gomora, shoga hawezi kuacha ushoga wake maana ameshaharibika tayariii, ameharibu mfumo wa maumbile yake anatakiwaaa AKAUMBWE TENA sasa hilo haliwezekani , hivyo kujifanya eti unaweza mbadilisha shoga huko, ni kujitoaaa akili, Papa kusema Mashoga ni watoto wa Mungu huko ni kuchanganyikiwa
Papa hayupo kwenye position ya kuwahukumu binadamu kwani hata yeye anasubiri hukumu.
 
Yehova aliangamiza, mashoga pale sodomaa na Gomora, shoga hawezi kuacha ushoga wake maana ameshaharibika tayariii, ameharibu mfumo wa maumbile yake anatakiwaaa AKAUMBWE TENA sasa hilo haliwezekani , hivyo kujifanya eti unaweza mbadilisha shoga huko, ni kujitoaaa akili, Papa kusema Mashoga ni watoto wa Mungu huko ni kuchanganyikiwa
Sikiliza andiko hili;
"Ukimwona mtu anatenda dhambi nawe hukumuonya, mtu huyo atakufa katika dhambi zake lakini damu yake nitaitaka mikononi mwako.
Lakini ukimwona mtu anatenda dhambi na wewe ukamwonya ila yeye asikusikilize, mtu huyo atakufa katika dhambi zake lakini mikono yako itakuwa salama."


Hili andiko lipo kwenye Biblia.
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.
Pole sana kama unachanginyikiwa kwa sababu ya maoni ya media kuliko mhusika (papa) mwenyewe. By the way, kwa maneno yake mwenyewe "amesemaje"? Labda tuanzie hapo kwa kuweka "statement yake".
 
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.

Inasikitisha sana ila basi tu.
Elewa hili ndilo kanisa la kwanza kabisa,na uliheshimu sana,wanajua A to Z ya mambo haya
 
Back
Top Bottom