Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu

Tizama video hii


 
Hajamkwepa kasalimia upande wa pili hawa Mapapa ni wazee wa kubariki ushoga
Nenda basi kamguse bega ageukie upande aliopo shoga tuone kama atamsalimia maana nyie hamna jema.

And by the way,effect za ushoga zitaendelea kuitesa dunia iwe pope amempa mkono au hajampa mkono hii ni nuksi ya kidunia haichagui dini,kabila wala umri.
 
Vip masheheee..??
Nenda basi kamguse bega ageukie upande aliopo shoga tuone kama atamsalimia maana nyie hamna jema.

And by the way,effect za ushoga zitaendelea kuitesa dunia iwe pope amempa mkono au hajampa mkono hii ni nuksi ya kidunia haichagui dini,kabila wa umri.
Marehemu Papa Francis kawaachia wosia mbariki ndoa za jinsia moja kanisani
 
Back
Top Bottom