Inawezekana unaliskia kwangu leo kwasababu ulikua bize kumuhudumia mumeo maana Marehemu Nguva alibariki ndoa yenu ya jinsia moja.
View attachment 3332638
Wewe ni Mbwa na ni Takataka ya faa kuwa na sifa hiyo abadani.
Akubariki ni kutoa Baraka Kwa maana ya kuwaombea rehema Kwa Mungu wabadilike na kumrudia Mungu Kwa kufuata kanuni za asili za uumbaji.
Watapata uponyaji wapi kama sio kanisani?
Yesu anataka tujitofautishe na watu mataifa Kwa kuwaita wenye dhambi waone ukuu wa Mungu na watubu dhambi zao.
“Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atusamehe dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.”
(1 Yohana 1:9)
Kanisa lisipochukua wajibu wake watu Hawa hawatamjua Mungu hata kidogo.
Biblia inasema hivi : Isaya 1:18 (SUV):
“Njoni, tusemezane, asema Bwana;
Ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji;
Ijapokuwa ni nyekundu kama rangi ya damu, zitakuwa kama sufu
Kwakua Ninyi washenzi mnatabia ya kufanya spinning mmeandika kwamba amebariki ndoa za jinsia Moja au mapenzi ya jinsia Moja!
Tujiridhishe Canon Laws au Sheria za Kanisa Katoliki zinasemaje kuhusu Ndoa Takatifu
1. Maana ya Ndoa Takatifu (Canon 1055 §1):
"Ndoa ni agano kati ya mwanamume na mwanamke waliobatizwa, kwa ajili ya kuunda ushirika wa maisha yote ya ndoa, kwa asili yake ni kwa manufaa ya wenza na kwa kuzaa na kulea watoto; kati ya waongofu wa Kikristo imeinuliwa kuwa sakramenti kwa njia ya Kristo
."
TUAMBIE lini kabisa Katoliki chini ya Baba Francisco lilibadilisha Sheria hiyo na ikafungwa ndoa ya wapenzi wa jinsi Moja, wataje na watu hao kanisa na nchi uweke na picha kama ushahidi!
Sheria ya Msingi (Canon 1055 §1):
"Ndoa ni agano kati ya mwanamume na mwanamke waliobatizwa..."
Hii ina maana:
Ndoa halali ya Kikristo lazima iwe kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja.
Hakuna nafasi yoyote kisheria au kiteolojia kwa ndoa ya watu wa jinsia moja.
Kanisa inawaalika watu Hawa wamjue Mungu sio kosa. Kuna Ninyi mnajifanya watakatifu kumbe mna dhambi kubwa hata kuliko hao homosexual nakwambia