Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ni zaidi ya mbumbumbu kwa hoja moja tu.Unafikiri klabu ya Yanga, wananchama na mashabiki wake; ni mbumbumbu kama nyinyi? Yaani kila ujinga unaoropokwa na mtu, basi lazima wautolee tamko! Hata kama ni pumba!
Kuwa serious wewe.
Aliyewatukana kwa kuwaita hamna akili, mlimuajiri kwa ajili ya kuisemea Club
Lakini hiyo pia kama haitoshi baada ya kufungiwa, uongozi wa Yanga ulitoka hadharani kumkingia kifua kuwa adhabu aliyopewa sio Fair
Na mpaka saizi bado anaendelea kuwa feed ujinga na mnamtumia kama chanzo sahihi even though kafungiwa.