Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

Tutegemee kumuona sakho akicheza world cup kipindi anatajwa sadio mane alimtikisa kichwa na kumshtua kocha wao wa national team na kumpa ishara kichwa hichi usikiache!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga hatukubali!! CAF wameipendelea Simba, Mayele ndiye mwenye goli zuri la mwaka kwa Afrika yote, alilifunga wakati Yanga inacheza na mtibwa! Kama hamkubali shauri yenu, sisi tumeshampa tayari hiyo tuzo huyo hapa:

1658479832267.png
 
Basi Hongereni kwa Treble mliyopata msimu huu

1.Ufungaji wa Mpole
2.Hattrick ya Sopu
3.Goal bora la sakho
Haya tulia sasa ufute machozi
 

Attachments

  • IMG_20220722_090202.jpg
    IMG_20220722_090202.jpg
    46.6 KB · Views: 5
Lile goli la Mayele kama angefunga michuano ya World 🍵 basi lingekuwa goli la DUNIA..
NANI KAMA MAYELE...
Kweli kabisa na tuzo tulimpatia
 

Attachments

  • IMG_20220722_090202.jpg
    IMG_20220722_090202.jpg
    46.6 KB · Views: 4
Bado hatujaridhika tunataka goli hilo liingie kwenye competition ya goli bora la dunia

Kuna kina Messi na Ronaldo naona siku hizi wanajisahau sana, wanafikiria wao tu ndio wanaweza funga magoli magumu wacha waone hili goli halafu wakate tamaa
Kombe la loser hili mmekaza mataqo
 
Kwasababu nyie ambao leo hii mnataka tuwaone sio mbumbumbu hamkuwai kutoka public kupinga kauli ya msemaji wenu.

Mlimuunga mkono
Unafikiri klabu ya Yanga, wananchama na mashabiki wake; ni mbumbumbu kama nyinyi? Yaani kila ujinga unaoropokwa na mtu, basi lazima wautolee tamko! Hata kama ni pumba!

Kuwa serious wewe.
 
Back
Top Bottom