Ni zaidi ya mbumbumbu kwa hoja moja tu.Unafikiri klabu ya Yanga, wananchama na mashabiki wake; ni mbumbumbu kama nyinyi? Yaani kila ujinga unaoropokwa na mtu, basi lazima wautolee tamko! Hata kama ni pumba!
Kuwa serious wewe.
Alisepa akaenda nacho wapi?Alisepa na kijiji cha wajinga kama nyie inatosha
Acha upotoshaji wewe. Haji Manara aliajiriwa na GSM baada ya kukimbia mshahara wa laki 7 kwa mwezi.Ni zaidi ya mbumbumbu kwa hoja moja tu.
Aliyewatukana kwa kuwaita hamna akili, mlimuajiri kwa ajili ya kuisemea Club
Lakini hiyo pia kama haitoshi baada ya kufungiwa, uongozi wa Yanga ulitoka hadharani kumkingia kifua kuwa adhabu aliyopewa sio Fair
Na mpaka saizi bado anaendelea kuwa feed ujinga na mnamtumia kama chanzo sahihi even though kafungiwa.
Aliajiriwa na GSM kuja kufanya kazi wapi?Acha upotoshaji wewe. Haji Manara aliajiriwa na GSM baada ya kukimbia mshahara wa laki 7 kwa mwezi.
Na kiufupi malengo ya GSM yametimia. Maana mashabiki wengi wa simba kwa sasa ni Kasuku wa huyo Haji Manara! Kila atakachosema, basi lazima kigeuke na kuwa wimbo wenu wa Taifa.
Unauliza swali, au jibu? Kwa hiyo kufanya kazi kwake Yanga ndiyo kunaondoa ukweli wa yeye kuwa mwajiriwa wa GSM?Aliajiriwa na GSM kuja kufanya kazi wapi?
Aliajiriwa na GSM aje afanye kazi wapi?Unauliza swali, au jibu?
wewe unaona anafanya kazi wapi? pale Yanga ana cheo gani wewe njitiAliajiriwa na GSM aje afanye kazi wapi?
Kabla ya kufungiwa alikuwa msemaji wenu pale Uto.wewe unaona anafanya kazi wapi? pale Yanga ana cheo gani wewe njiti
Kwa hiyo kwa akili yako, Haji Manara bado ni msemaji wa Yanga! Kisa tu profile yake ya Instagram inaonesha hivyo!Kabla ya kufungiwa alikuwa msemaji wenu pale Uto.
Na hata baada ya kufungiwa bado Club yenu inakubaliana na msimamo wa Manara wa kutotambua hukumu aliyopewa.
Kwa kuthibitisha hilo hata biography yake kule insta kaandika kuwa yeye ni msemaji
Na kwakua nyinyi vitoga mna ubongo wa nzi, mnashindwa kung'amua errors kwenye taasisi ambazo zilikuwa ni za kuepukika
Basi itakua una Yanga yako wewe maana una ng'ang'aniza kitu ambacho hakipo, Yanga hakuna msemajiKabla ya kufungiwa alikuwa msemaji wenu pale Uto.
Na hata baada ya kufungiwa bado Club yenu inakubaliana na msimamo wa Manara wa kutotambua hukumu aliyopewa.
Kwa kuthibitisha hilo hata biography yake kule insta kaandika kuwa yeye ni msemaji
Na kwakua nyinyi vitoga mna ubongo wa nzi, mnashindwa kung'amua errors kwenye taasisi ambazo zilikuwa ni za kuepukika
Club yako haitambui hukumu aliyopewa Manara.Kwa hiyo kwa akili yako, Haji Manara bado ni msemaji wa Yanga! Kisa tu profile yake ya Instagram inaonesha hivyo!
Kwanza kwa taarifa yako, hicho cheo cha "msemaji" hakipo kwenye klabu yetu ya Yanga. Umeelewa wewe follower wa Haji Manara?
Role ya msemaji ni ipi ili tuweze kutofautisha na majukumu aliyokuwa anafanya Genius wenu?Basi itakua una Yanga yako wewe maana una ng'ang'aniza kitu ambacho hakipo, Yanga hakuna msemaji
Duh!. Hii ndio kwenye losers cup ingekuwa kwenye mabingwa kule si ingekuwa balaa zaidi.Kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Tumechukuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Sakhoooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]View attachment 2299257View attachment 2299258
Wydad watakupa majibuRole ya msemaji ni ipi ili tuweze kutofautisha na majukumu aliyokuwa anafanya Genius wenu?