Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni imeruhusiwa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=Ta0URHvUlko
Swali ambalo Paschal Mayalla alimuuliza Rais Magufuli Nov 4, 2016 Ikulu, Dar es Salaam na kumletea shida
Interview nzima ipo hapa
View: https://www.youtube.com/live/Nhed41lJ_Fw?si=GjMRBRe5j8XQPcNV