PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni vigumu sana kumuamini huyo Paschal wenu,

Kati ya watu waliotumika na wanaendelea kutumika kuchongea watu kwa mamlaka huyu jamaa usimsahau.

Anajua kuitafuta sympanth kwa umma kwa giriba lakini Hana la maana la kuonewa huruma akiwa ni miongoni mwa wanufaika muhimu wa mifumo dhalimu.
 
Pamoja na kumfahamu huyu jamaa kwamba ni mjanja mjanja tu wa mjini na walikuwa wanashirikiana na ma head wa GCU katika Taasisi mbalimbali kupiga hela. Ila nimemuonea huruma sana kwa namna alivyojieleza kwenye ile interview ya jana Pole sana Bro Mayala.

Ila pia kama alikuwa under influence ya kilaji kwa namna nilivyomuona. All in all I sympathize with him kutoka moyoni. Endelea kupambana PM, Mungu ni mkubwa.
 
Mayala aache kuwalaumu na kusema Kiunafiki kuwa ni watu wa Kati siyo magu. Hao watu wakati walipokea maagizo ya magu wewe kutendewa yote hayo. Unafikili nani angekugusa Kama siyo maagizo ya magu?. Ficha ukweli Ila juwa uliyoyapitia ni maagizo ya magu.
Haters bhana 😂 yn unalazimisha JPM aonekane Mbaya wakati mhusika amesema hauhusiki 😂

Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kumlaumu JPM
 
Haters bhana 😂 yn unalazimisha JPM aonekane Mbaya wakati mhusika amesema hauhusiki 😂

Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kumlaumu JPM
Sikia wewe ZEZETA. Uliye na fuvu lisilo na uwezo wa kufikilia. Wenye akili wameelewa nilichaandika baada ya kumsimiliza mayala. Ila wewe Kaa na maujinga yako. Pamoja na mazuri aliyokuwa nayo magu lakini UUWAJI ulimchafua. Huyo anaogopa kuwa mkweli lakini anajua ni maagizo Ila kaongea kwa hekima tu kumsitili magu. Ndiyo maana nikauliza Kama siyo magu kwanini alivyompa taharifa kwa anayofanyiwa na bado yaliendelea?. Na kwanini afanyiwe yote hayo baada ya swali lake.
Alafu unakuja kuongea UMAMA wako hapa. Wewe kumbe ni ZEZETA POSITIVE
 
Umeandika poa sans, nimependa.
 
View attachment 3341618
Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni imeruhusiwa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Ta0URHvUlko
Swali ambalo Paschal Mayalla alimuuliza Rais Magufuli Nov 4, 2016 Ikulu, Dar es Salaam na kumletea shida​

Usiwatetee sana hao waliopo juu kama wenyewe hawafanyi mabadiliko.
 
Mayala bhana anadhani kaitba NI kitu cha kushikamana nacho ngoja Mimi nimjibu maswali yake.

Sikia mwanachama WA jamii forum katiba NI kijkitabu Tu.
 
View attachment 3341618
Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni imeruhusiwa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Ta0URHvUlko
Swali ambalo Paschal Mayalla alimuuliza Rais Magufuli Nov 4, 2016 Ikulu, Dar es Salaam na kumletea shida

​

View attachment 3343478

Interview nzima ipo hapa

View: https://www.youtube.com/live/Nhed41lJ_Fw?si=GjMRBRe5j8XQPcNV

Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom