PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jiwe ndiyo muasis wa yote chura kiziwi ana yaendeleza.
Chato ime baki mahame
Hapa ndipo tunapokwama,jiwe ndiye aliyeandika katiba tunayolalamikia?
Mrithi wake si aliahidi kuleta mabadiriko,akimuita jiwe simba wa yuda? sasa kiko wapi,miradi iliyoasisiwa na jiwe leo ndiyo inayotumiwa kupigia kampeni.

Tusipojua mchawi wetu ni nani tutakwama sana. Mchawi wetu mkuu ni mfumo unaoendekezwa na katiba mbovu.
Akija mtu hata akatawala mwaka mmoja ila akatuachia katiba mpya,atakumbukwa milele.
Watu ni wasaulifu, yule dokta ulimboka aliyetekwa na kunyofolewa na kucha kilikuwa kipindi cha jiwe?
 
Mayala aache kuwalaumu na kusema Kiunafiki kuwa ni watu wa Kati siyo magu. Hao watu wakati walipokea maagizo ya magu wewe kutendewa yote hayo. Unafikili nani angekugusa Kama siyo maagizo ya magu?. Ficha ukweli Ila juwa uliyoyapitia ni maagizo ya magu.
Kuna baadhi ya mambo hayafanyiki kwa maagizo ya mtu wa juu ila baadhi ya watu kucheza na fursa, uoga wa kupoteza ajira na kujikomba. Kuna mambo yanaweza fanywa kwa kivuli cha Rais hata Rais mwenyewe anashangaa. Ila kwa sababu yeye ni mtanzania number moja hawezi kwepa lawama zote.

Kuna taasisi zilikuwa zinatumia slogan ya Hapa kazi tu kwa manufaa ya matumbo yao. Watu wa aina hiyo hawawezi kwisha wapo hadi leo. Wanaonekana wanampenda mama, kila muda ni mama mama lakini nyuma ya pazia wanamkosanisha na wananchi
 
Alipompekekea taharifa kwa anayotendewa kwanini yaliendelea?. Huyo waliambiwa tu msimuuwe Basi. Sasa magu kuulizwa swali dogo tu kama lile ndiyo panic yote Ya nini?.
 
Jiwe ndiyo muasis wa yote chura kiziwi ana yaendeleza.
Chato ime baki mahame
Tulisha waelimisha sana nyinyi wapumbavu kuwa kuna tofauti ya dictator mzalendo na dictator muhuni(asiye mzalendo) tena kuna tofauti baina ya sheria na haki tena kuna tofauti baina ya kuua damu isiyo na hatia na kuua wahalifu ...ila kwa upumbavu ulio tukuka mmeshikamana na upumbavu...nyinyi ni chumvi zilizo halibika ni wakutupwa nje na kukanyagwa.
 
Alipompekekea taharifa kwa anayotendewa kwanini yaliendelea?. Huyo waliambiwa tu msimuuwe Basi. Sasa magu kuulizwa swali dogo tu kama lile ndiyo panic yote Ya nini?.
Binadamu tuko tofauti na tujue wapo ambao hawana uvumilivu. Anaweza fanya matukio ambayo baadae akikaa kutafakari anaumia na kujuta. Ninachoamini sio kila jambo linalofanywa linakuwa limefanywa na mkuu. Kuna mambo ya hovyo tunayaona mpaka unashangaa. Ni sawa na yale watu wengi husingizia shetani aliwapitia yanapotokea madhara. Namuelewa Pascal
 
Watu wa kati na watu wa chini wameumiza wengi sana wakifkiri wanamfurahisha aliyeko juu!!.Vijana 20 wamepoteza kazi na Kampuni ya P Kufilisika kwa ajili ya upuuzi wa watu wa kati na watu wa chini.Hebu ifike mahali tuone uongozi sio chanzo cha kuumiza wengine kwa vile tuko karibu nao.Tuache upuuzi jamani,mimi simzungumzii P kisiasa naangalia uchumi wake na waliokuwa wanamtegemea,hebu tuwe na hofu ya Mungu tuache upuuzi.
 
Watu hawalioni hili. Kwenye taasisi tulizopo haya mambo yanatokea. Watu kati wanavuruga mpaka mtu aondoke kwenye kiti alichokalia. Watu walipata mwanya wa kuumiza wengine na wakajua lawama hawatabeba wao wanafanya mambo ya ajabu sana.
 
Hapa ndipo tunapokwama,jiwe ndiye aliyeandika katiba tunayolalamikia?
Mrithi wake si aliahidi kuleta mabadiriko,akimuita jiwe simba wa yuda? sasa kiko wapi,miradi iliyoasisiwa na jiwe leo ndiyo inayotumiwa kupigia kampeni.

Tusipojua mchawi wetu ni nani tutakwama sana. Mchawi wetu mkuu ni mfumo unaoendekezwa na katiba mbovu.
Akija mtu hata akatawala mwaka mmoja ila akatuachia katiba mpya,atakumbukwa milele.
Watu ni wasaulifu, yule dokta ulimboka aliyetekwa na kunyofolewa na kucha kilikuwa kipindi cha jiwe?
Aliyesema kwa katiba hii akipatikana rais mkorofi basi inamfanya kuwa dikteta mzuri tu ndiye aliyeacha ZIMWI kwa watoto na sasa linakunywa damu kila uchao
 
Hizo ndio zilikuwa zake Magufuli. Anawatuma watu wake Kisha ukiongea naye anawaruka na kujifanya kukusaidia.

Mzee Diallo kwa simulizi zake naye ilikuwa hivyo hivyo. Alipelekewa TRA baadaye Magufuli akajifanya hakujua. Ukweli ni kwamba alijua. Diallo akarudishiwa sehemu tu ya pesa zake.

Kuna mifano mingi ya tabia za hivyo za Magufuli.
 
Kuna baadhi ya mambo hayafanyiki kwa maagizo ya mtu wa juu ila baadhi ya watu kucheza na fursa, uoga wa kupoteza ajira na kujikomba. Kuna mambo yanaweza fanywa kwa kivuli cha Rais hata Rais mwenyewe anashangaa. Ila kwa sababu yeye ni mtanzania number moja hawezi kwepa lawama zote.

Kuna taasisi zilikuwa zinatumia slogan ya Hapa kazi tu kwa manufaa ya matumbo yao. Watu wa aina hiyo hawawezi kwisha wapo hadi leo. Wanaonekana wanampenda mama, kila muda ni mama mama lakini nyuma ya pazia wanamkosanisha na wananchi
Yeye hajui? unataka kusema hana washauri wa kumwambia kuna hili na hili linaendelea na sio zuri kwake? akiambiwa hivyo au akiona akakaa kimya ina maana gani?
Kumbuka kuwa mara nyingi wanajinasibu kuwa wanafuatilia yanayoendelea mitandaoni na matukio kwenye vyombo vya habari.
Na mara nyingine hupiga simu live kwenye vipindi vya TV/Radio na kujinasibu kuwa wako online hawalali wako macho muda wote wakiangalia kinachoendelea kwa raia wao wapendwa.
 
Rais kama akitaka kuyakomesha haya mambo anaweza,ila kwa vile anaamini yanamsaidia ndiyo anayabariki, hawezi kujitenga na wauaji anaowalipa mshahara na posho kwa kazi hiyo
 
Back
Top Bottom