amechemka nini ? au wewe ndio akili kisodaHapo kwenye ukabila amechemka nadhani
We unafiki upi?Mazuri yapi?
Nimekupenda MAYALA live long brother. Huu ndo ukweli kwa kiasi kikubwa
Anaongea kwa hofu kuwa akiweka wazi ataandamwa. Lakini yote aliyotendewa yalikua ni maagizo. We uoni mtu mpaka anasema anahisi kasaidiwa na kabila kuwa moja.Binadamu tuko tofauti na tujue wapo ambao hawana uvumilivu. Anaweza fanya matukio ambayo baadae akikaa kutafakari anaumia na kujuta. Ninachoamini sio kila jambo linalofanywa linakuwa limefanywa na mkuu. Kuna mambo ya hovyo tunayaona mpaka unashangaa. Ni sawa na yale watu wengi husingizia shetani aliwapitia yanapotokea madhara. Namuelewa Pascal
Huu ndio ukweli, ulitaka mtu mkweli aseme uongo?? Kauli ya kuhusu ukabila usidhani kaisema kwa bahati mbaya, ni code.Hapo kwenye ukabila amechemka nadhani
Wote tuliokuwa tunamlaumu Pascal Mayalla sasa tuombe radhi, kumbe ana siri nzito
Wangempa hata u rc au dcAtagombea Ubunge? 🐼
Jimbo jipya la ChamaziKawe tena au 😄
Ova
Wamakonde wandengereko huko watamuelewa 😄Jimbo jipya la Chamazi
Alikuacha na mimba ya miezi mingapi?Jiwe ndiyo muasis wa yote chura kiziwi ana yaendeleza.
Chato ime baki mahame
Anyway, ni matatizo yake amalizane nayoWe unafiki upi?