Hapa ndipo tunapokwama,jiwe ndiye aliyeandika katiba tunayolalamikia?
Mrithi wake si aliahidi kuleta mabadiriko,akimuita jiwe simba wa yuda? sasa kiko wapi,miradi iliyoasisiwa na jiwe leo ndiyo inayotumiwa kupigia kampeni.
Tusipojua mchawi wetu ni nani tutakwama sana. Mchawi wetu mkuu ni mfumo unaoendekezwa na katiba mbovu.
Akija mtu hata akatawala mwaka mmoja ila akatuachia katiba mpya,atakumbukwa milele.
Watu ni wasaulifu, yule dokta ulimboka aliyetekwa na kunyofolewa na kucha kilikuwa kipindi cha jiwe?