PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu pole sana, inasikitisha sana kwa yaliyokukuta lakini pia nimekupata vema kwenye part ya mwisho kuhusu kutesa familia na sasa naona justification ya unayoyafanya baada ya tukio la swali hilo. Sintokulaumu tena kuhusu uchawa kwa sababu mwisho wa siku maisha lazima yaendelee na mwenye nguvu sometimes unampisha, haya mambo magumu tumuachie simba tu (umemuita wa kizimkazi) hana cha kupoteza na alishajitolea maisha yake, kazi yetu sisi ni kumpa tonetone tu wakati tumejificha uvunguni!

Kikubwa nachokupongeza ni kwamba familia ipo diaspora so risk inabaki kwako tu na ikiwa kubwa sn ukaona upenyo unaweza tu kusneak ukasalimisha roho yako (ina thamani kubwa kuliko any cause) na vijana wako salama, hongera kwa hilo, haya mambo yanakuja na kuondoka hamna powerful permanent people na watu wa kati uliowasema ni chawa ambao sisi walalahoi tunawapiga vita kama ambavyo tunakusema hata wewe inapokuja maslahi ya taifa sio ya watawala. Pole sana
 
Sahihi kabisa
 
Duh watu wamepitia makubwa 🤔
Huyu ni Mmoja, maamini wapo Maelfu ambao hawajaweza kufikiwa na kuzungumza kwa ujasiri kama Bro. Pascal Mayalla aghalabu wengine wamelishangulizwa mbele za haki (RIP).
Nasisizitiza kila baya litalipwa kwa ubaya kwako au kwa vizazi vyako hadi uzao wa nne.
tutende mema,
Dunia duara lakini pia Mungu hapendi dhuruma mbaya kbs dhuruma!
 
Kajitahidi kweli kuhamisha mlengwa na madhila aliyopitia hayakuwa maelekezo na mkono wa jiwe ila ukweli tunaujua .

Hawa watu wawili pichani awamu ile walikuwa "untouchable" unaweza kujua yalikuwa ni maelekezo au maamuzi yao.

Je saa hizi bado wako na nguvu kama zile , ukilijua hilo utapata jibu kuwa Mayalla kaongea pengine robo ya stori tu.

Mayalla wewe endelea kulamba asali kwa sasa walau ulithubutu kuliko waoga wengine , ila sasa umekuwa mnafiki kupindukia.

Screenshot_2024-03-18-00-24-10-1.png
 
Wakati mwingine wakuu hubebeshwa mizigo mizito ambayo ni matokeo ya chawa wanaoamini kwa kufanyia uovu watu wengine basi wanawafurahisha mabwana wakubwa. Hii si sawa kbs na haikubaliki. All in all karma is a bitch!!
Huyo "mkubwa" kama yakifanyika hayo halafu akakaa kimya bila kuchukua hatua zozote sisi raia wanyonge huku tumtafsirije?
 
Back
Top Bottom