Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Very good commentKila mtu ataguswa kwa wakati wake including Samia
Very good commentKila mtu ataguswa kwa wakati wake including Samia
Lohh, pole sana kaka Pascal Mayalla
Wakati mwingine wakuu hubebeshwa mizigo mizito ambayo ni matokeo ya chawa wanaoamini kwa kufanyia uovu watu wengine basi wanawafurahisha mabwana wakubwa. Hii si sawa kbs na haikubaliki. All in all karma is a bitch!!
Mambo yanasikitisha mno!Mungu anawaona na atajibu!
Hajachemka,anamaanisha hakuguswa kuuwawa kwani mwamba alikuwa msukuma mwenzake!Hapo kwenye ukabila amechemka nadhani
Hii Dunia ni hatari sana!"...nisije nikawa shujaa lakini matakeo familia yangu ikateseka...".
Pascal Mayalla hapa umenena. Ungekumbwa na mabaya mengi sisi tusingeisaidia familia yako/yenu Kama ambavyo tumeshindwa kumsaidia gmfamilia za akina soka sanane, Gwanda na hata mdude.
Nakupongeza kwa kujifunza na ku observe changes.
Hii kauli haina mantiki. Ni kama kumfanya Rais hajielewi kabisa. haya mambo ni sensitive sana. Halafu inatokea wenye kufanya ubazazi huo hawaadhibiwi badala yake wanapandishwa vyeo na kuheshimishwa zaidi katika mfumo wa utawala.Kuna baadhi ya mambo hayafanyiki kwa maagizo ya mtu wa juu ila baadhi ya watu kucheza na fursa, uoga wa kupoteza ajira na kujikomba. Kuna mambo yanaweza fanywa kwa kivuli cha Rais hata Rais mwenyewe anashangaa. Ila kwa sababu yeye ni mtanzania number moja hawezi kwepa lawama zote.
Kuna taasisi zilikuwa zinatumia slogan ya Hapa kazi tu kwa manufaa ya matumbo yao. Watu wa aina hiyo hawawezi kwisha wapo hadi leo. Wanaonekana wanampenda mama, kila muda ni mama mama lakini nyuma ya pazia wanamkosanisha na wananchi
Hapo Mayala ni sungura na usungura wake huwezi kuuelewa hivihiviMayala aache kuwalaumu na kusema Kiunafiki kuwa ni watu wa Kati siyo magu. Hao watu wakati walipokea maagizo ya magu wewe kutendewa yote hayo. Unafikili nani angekugusa Kama siyo maagizo ya magu?. Ficha ukweli Ila juwa uliyoyapitia ni maagizo ya magu.
Pasco alipitishwa kwenye moto. Hapo ameongea kikubwa kubwa tu kumsitiri mtu wa kabila lake. Huku Magu kule bungeni Ndugai.dio sababu umekuwa chawa sasa, nimekusamee Bure!
Unaweza kuwa sahihi ila ukirudi kusoma sentensi ya kwanza nimesema "kuna baadhi ya mambo." Hiyo inatosha kwa wewe mwenye mantiki kuelewa namaanisha nini, maana si kila kitu kiko kama tunavyofikiri. Au unataka nikueleweshe kwa nini niliandika kuna baadhi ya mambo?Hii kauli haina mantiki. Ni kama kumfanya Rais hajielewi kabisa. haya mambo ni sensitive sana. Halafu inatokea wenye kufanya ubazazi huo hawaadhibiwi badala yake wanapandishwa vyeo na kuheshimishwa zaidi katika mfumo wa utawala.
Rais akitakiwa kutoa neno ndio unasikia "kifo ni kifo"; "huwezi kuwa msaliti halafu una-survive tu". Na kutoa vitisho kwa wanaofuatilia na media.
Hakuna mtu anayeweza kujeruhi au kuua wakosoaji/wapinzani wa serikali nchini bila hatua yoyote kuchukuliwa HALAFU idaiwe Rais hajui kitu wala hana mkono katika matendo hayo. Ni kama ufisadi wa mabilioni katika miradi mikubwa inayohusisha taasisi za serikali ufanyike na kuishia kimya kimya halafu idaiwe ni watu tu wanamharibia Rais. That's so naive.
Mwanasheria yule. Labda kaisema kimitego asifikiwe!!!Pascal Mayala anaweza kukamatwa kwa kuingilia jambo lililo Mahakamani
Sio dunia sema afrika, kwa mfano hspa kwetu sa100 amezungukwa na genge la propaganda balaa...na washamjulia anapenda kusikia nn wanatembelea mulemule, mbaya zaidi huku wanatafuna kodi za wanyonge!Kwenye hii dunia unapojihusisha na watu wenye mamlaka, usiwe mkweli wala usiwe muongo weae kuwa mtu wa hadaa tu.