Pascal Mayalla adai Waziri Mpango alitumia muda mwingi katika kusifu alipowasilisha bajeti. Asema yeye siyo MATAGA na hatafuti uteuzi!

Unfortunately COVID-19 is not that fair.
 
Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
Kwani alilewa akiwa bungeni kama Dr Kitwanga?
Kiongozi wa umma maisha yako yanamulikwa popote ulipo. Bungeni au uraiani. Ndio maadili ya viongozi yanatakiwa kuwa hivyo.
Kwahiyo kiongozi wa umma akilewa anajadiliwa bungeni!!
Hahahaha!!! yohana mbatizaji mpeleke taratibu huyo changudoa wa malunde, kumbuka ni mataga mwenzio!
 

Kaka Mayalla, personally I see an immense professionalism in you as a formidable journalist, you exhibit being an institution though ur an individual, the wisdom and maturity, the way people get confused with you is quite awesome. I don't care what others opinions might be about you, but, personally, i would elevate you for presidential appointment, we are all dynamic and transforming, the manifestations of prosperity for all has many shapes. Keep it up be wise, mature and solid, the analysis you had that very morning is something to be embraced by others in ur field. I thank you Bro.
 
Chagu wa malunde mda mwingi yupo na wana ccm wenye IQ ndogo akina Livingston Lusinde unategemea nini hapo
Tatizo ni kuwa hamtaki ukweli. Wabunge wamesifia kile ambacho wameona kwa macho yao. Hata kila mwananchi ni shahidi serikali ya awamu ya tano imefanya makubwa.
 
Akilewa chakarii alafu akadanganya amekanyagwa na watu wasiojulikana,kumbe alianguka baada ya kuteleza. Hiyo ni ishu nyingine.
Imekuwa aibu kweli siku hizi uongozi wa nchi hii. Watu wamechoka na ukienda nchi za nje wanauliza siku hizi Tanzania mmekuwa kama mataifa mengine ya Afrika kuna nini? Nawajibu tuombeeni tafadhali.
 
Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
Mbowe ni binadamu kama wewe tu na ana upande wake wa maisha ya mtaani. Mungu angetuonyesha maisha ya kila mmoja tungeshangaa sana na ndio maana Yesu aliwaambia wale waliomshitaki yule mwananmke mzinzi kuuwawa, kama kuna asiye na makando kando basi awe wa kwanza kurusha mawe na wote wakatawanyika na kumuacha yule mwanamķe. Vivyo hivyo na Mbowe anaupande wake wa maisha binafsi ambao hatuma haja ya kupoteza muda mwingi wa bunge kuyajadili. Vyombo vyetu vya uchunguzi vilete taarifa ya uchunguzi huru na si ile tayari ilitolewa na wanasiasa kule bungeni. Na kama kweli wanaushahidi kuwa Mbowe kadanganya dunia kuwa ameshambuliwa basi achukuliwe hatua kama taratibu zinavyotakà na si kuishia hapo tu kuwa Mbowe alilewa chakari. Polisi hawasemi Mbowe ameumia au la na ameumiaje kwa sababu hata mlevi ana haki ya kufurahia na kulindwa na vyombo vya dola. Kama amedanganya kuwa kapigwa wakati hakupigwa inafahamika kuwa hiyo ni jinai basi polisi wafungue mashitaka wakiwa na ushahidi. Si vyema polisi kujiingiza kwenye michezo ya kisiasa ya akina Ndugai.
Tunaomba weledi upande wa watu wa usalama iliwaaminike.
 
Ya kaisari mwachie kaisari na ya Mungu muachie Mungu. Yeye kama kiongozi wa umma alipaswa aishi kwa mujibu wa maadili kama kiongozi wa umma.
 
Aiseee!akirud tena nistue
 
Kuna mbunge kujadili maisha binafsi ya Mbowe kama Mbowe. Na kuna maisha binafsi ya Mbowe kama KUB ambae ni kiongozi wa umma. Sasa kama kiongozi wa umma ndio anaruhusiwa kulewa chakari na kula bata na vimada, sijui kama inakubalika.
Wewe unajifanya humjui kiongozi wa CCM anyevuta bangi na kugawa vyeo kwa vimada wake wengi hawana sifa zaidi ya kumvulia nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…