At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Naunga mkono hoja. Japo nimechelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal Mayalla ana kampuni kubwa ya matangazo.Pascal Mayalla ,Magufuli anapaswa kumpa ulaji maana jamaa anapambana ili amfurahishe mh Magufuli.
Pascal Mayalla ana kampuni kubwa ya matangazo.
Hana njaa.......na wala hatafuti ulaji!
Utajisikiaje kama JF itafungwa kwa kuwa kuna watu wanatukana wengine? Au ni halali kutukana upande mmoja tu na kwingine haramu?Naunga mkono hoja, hata Usa imepitisha sheria kuanza kudeal na watu kama hawa wanaofanya uchochezi na kutukana viongozi kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Hivyo TCRA iifungie Twitter sababu imekuwa kichaka cha wasiojulikana kuwatukana viongozi wa serikali
Tatizo ni je akili yake inamtuma kuyafanya hayo mambo muhimu? Kwa akili zake tweeter ndiyo jambo kubwa kwake
Hahahaaaa........ Bwashee jibu hoja!
Naunga mkono hoja, hata Usa imepitisha sheria kuanza kudeal na watu kama hawa wanaofanya uchochezi na kutukana viongozi kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Hivyo TCRA iifungie Twitter sababu imekuwa kichaka cha wasiojulikana kuwatukana viongozi wa serikali
Nimekuelewa!Na usisahau kuwa unaweza kukuta hao Wanaokutukana na Kukudhihaki ndiyo wakawa Wanakupenda Kiukweli kuliko Wanafiki ambao wanakutetea.
Pascal Mayalla alishaapa kuwa " ameshajikomboa" hivyo hawezi tena kutafuta ajira hapa duniani.
Ana kampuni kubwa na ameajiri vijana wa kutosha!