Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

Tuanze na wewe kwani unajulikana? Kwanini hukuingia kwa majina yako hailisi? Najua twitter mnamwogopa kigogo 2014 kama bomu.Vipi watekaji mliowabatiza wasiojulikana msha wajua? [emoji134] Ok, waliomwekea sumu yule rafiki yake Membe (Mangula) lakini pia waliomdhuru Mwakiyembe! Au waliomshambulia Tundu Lissu?

Nirudi kwa Paschal Njaa nilimwambia hawezi kupewa UDC wakifunga tunauwezo wa kuibua mitandao mingine msiyoijua lakini pia maandamano ya Marekani hayakuanzia mitandaoni.

Bora mtuache tuseme muone namna ya kujilinda kuliko kuwavamia bila taarifa.
 
Wewe vipi? Umejuaje mimi sio Idungude?

Na Kigogo2014 ndio nani? Wala Pascal hajazungumzia mpuuzi kama huyo. Anazungumzia wote wanaotumia vibaya Twitter kutukana viongozi.

Ishu ya Mangula inaingia vipi hapa? Au ndio kukosa point?

Kwani huyo Pascally akikosa UDC ndio analala njaa.
Kuna watu wanakula bata kuliko hata hao wateule unaowafikiria.
 
Executive order ni nini? Sio fedaral law?
 

Hujui hata argument yangu ni nini. Na hili ndio tatizo la watoto wengi - kutoelewa kitu kabla hujaanza kukisema. Ukireje kwenye uzi wako kabla sijatofautiana na wewe ulionesha EO ya Trump ilichukuw hatua ambazo huko Tanzania uliilinganisha na kuifungia twitter. Point yangu ni kuwa hatua zilizochukuliwa na Trump hazikuwa kufunga twitter US na bahati nzuri hujapinga nilichosema amefanya!!

Kuna tatizo kwenye nchi changa na ndio mnachotaka. Kuwa “kuzuia” au “kusitisha” ni suluhisho!! Twitter na channels nyingine zinaweza kutumiwa pia kwa mambo mazuri. Badala ya kukimbilia kuzuia twitter Tz - tufanye regulations kuhusu matumizi.

Fungia gazeti, TV na redio ni baadhi ya mambo tunayofanya nchi changa bila kujali tunapoteza mapato, ajira na ukuaji wa taaluma na jamii.

Mkuu, mara nyingine jikite katika kuelewa kabla hujafanya references!!
 
NewOrder, Usinifanye sijui kusoma. Wewe ulisema mimi muongo Us hawajaweka sheria yoyote kuhusu kudeal na watu wanaotukana viongozi mitandaoni. Wewe ulisema ameweka Executive order. Ndio nakujulisha Executive order ni sheria. Ila tofauti na sheria nyingine hii haipitishwi na Congress.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Wivu tu.

Hivi karibuni, Twita imekuwa uwanja unaokamata nafasi ya mbele ukilinganisha na mitandao majukwaa mengine.
 
Mkuu Johnthebaptist,
Kwanza asante kufuatia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, but with due respect, nakuomba uliripoti, uripoti kitu cha kweli kilicho zungumzwa.


Mimi ni muumini wa freedom of speech na freedom of expression hivyo sijasema popote Twitter ifungwe!, bali nimehamasisha uzalendo, ukikutana na mada za kuibagaza heshima ya nchi yako kwa siri za nchi yako, viongozi wako kuanikwa hadharani, nimeshauri tutangulize uzalendo, tusishabikie, nikashauri ikibidi kuepuka, tuepuke.

Hivyo naomba kwanza nitendee haki kwa ku edit heading yako na urekebishe contents ya nilichosema, pili weka post yangu hii kwenye thread start ili wanabodi wasikie nilichosema.

Natanguliza shukrani
P
 
Pamoja kwamba wewe ni kada wa CCM. Nikwambie tu. Kigogo asiwafanye mtake kufunga twitter. Twitter mtandao wa kimataifa.

Hadi JPM yumo. Mawaziri wamo. Sio kitu kirahisi kama unavyodhani.
Mkuu Detective J, hakuna aliyetaka Twitter ifungwe
P
 
Hivi kuwaambia ukweli hao mnaowaita viongozi ni kuwatukana?
 
Mnafiki Mayalla
Hiki tulilijua kitambo sana tangu atoke bungeni

Alipotea kwa kipindi fulani .

Kule alioneshwa ukubwa wa serikali akastaajabu na kuogopa[emoji44]

Na aliyotoka kule akapote hapa JF na alipo rudi alianza aste aste yaani kwa staili ya kung'ata na kupuliza taratibuuu Hadi mchezo ukamnogea akafungua breki zote parakaraarara!!! full "kupiga vigelele"

Na akaanza kuwa snitch watu na waandishi wengine (like kabendera)

So anaweza akawa anaona kwamba hatumuoni Ila tunamouna tuna mzoom tunacheki jinsi anavyo hio ngoma ya ndugai typically kessy mind [emoji3]

Yaani tunamuona kila movement sababu tunamjua hulka yake tangu kitambo

Kwa Sasa mwacheni atete ugali wa wanae nafikiri tutamjadili 2025 na kuendelea

"Umkomboti [emoji445] I work hard everyday to make my beer .. umkomboti.

Umkomboti is magic beer[emoji445] is African bear [emoji445]

We madlamini everybody wo kumboti [emoji445]come and drink mine we madlamini wok kumboti [emoji445]

Tupate matangazo kidogo [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri ya siri za nchi katika context ya uzalendo ni zipi hizo kwa mfano mzee Paskali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…