ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Tuanze na wewe kwani unajulikana? Kwanini hukuingia kwa majina yako hailisi? Najua twitter mnamwogopa kigogo 2014 kama bomu.Vipi watekaji mliowabatiza wasiojulikana msha wajua? [emoji134] Ok, waliomwekea sumu yule rafiki yake Membe (Mangula) lakini pia waliomdhuru Mwakiyembe! Au waliomshambulia Tundu Lissu?Naunga mkono hoja, hata Usa imepitisha sheria kuanza kudeal na watu kama hawa wanaofanya uchochezi na kutukana viongozi kwa kutumia mitandao ya kijamii.
Hivyo TCRA iifungie Twitter sababu imekuwa kichaka cha wasiojulikana kuwatukana viongozi wa serikali
Nirudi kwa Paschal Njaa nilimwambia hawezi kupewa UDC wakifunga tunauwezo wa kuibua mitandao mingine msiyoijua lakini pia maandamano ya Marekani hayakuanzia mitandaoni.
Bora mtuache tuseme muone namna ya kujilinda kuliko kuwavamia bila taarifa.