Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

China walishaifungia Twitter toka 2009. Kwa hiyo ni jambo rahisi sana nafikiri mtoa mada hakukurupa anafahamu mamlaka ya Tcra juu ya hili.
sawa hatujakataa lakin upumbavu wa mtu mmoja kwanini usababishe watu wengine waumie kwani kila anaye tumia twitter ana post au kuandika ujinga na kama kutukana viongozi ndy tatizo kwann serikali isitoe watu wake wakafanya research kujua ni wajinga gani wana fanya hivyo serikali yenyewee inayo tukanwa ipo kimya na haija fungia yeye kama nani aanze kuleta umbea eti twiter afungi kuna maada nyingi tuuu za kuongelea kuhusu nchi yake na siyo twitter
FB_IMG_16030648541906532.jpg
 
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Wamekufungia wewe na wajinga wenzio,wengine tupo mbali saa hizi tunasambaza yanayotakiwa kusambazwa pamoja na kuwafundisha wengine jinsi ya kurudi hewani
 
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Acha ujinga we mzee.

Serikali inayofunga mitandao na kurestrict access to information kwa watu walioichagua wenyewe ni serikali ya kipumbavu.
 
Kumbe Pascal Mayalla ni mpuuzi kiasi hiki? Duh sikua nimeiona hii ndio maana lilipata kura moja hili lipuuzi..
 
Ila ajabu ni kwamba wapuuzi wa Lumumba ndio wanaisoma namba [emoji23][emoji23] wengine still tunapata access ya Twitter, Na yule Kigogo2014 waliekua wanamshambulia na kureport account yake inafungwa ajabu kawa Verified member saiv! Walikua wanampiga chura teke...
 
Duh...!, kumbe siku ile niliidharau bure TCRA na serikali yetu kuwa hawawezi!, kumbe jamaa wanaweza na sasa wametufungia Twitter kwasababu ya mtu mmoja tuu!.
Ni sheedah.
P
Yawezekana Kigogo 2014 asiwe tatizo. Tatizo kubwa ni wanaomfuata kumsifu na kumtia moyo ktk habari zake zote zenye nia ya kuangamiza taifa.

Nasubiri siku nisikie anawatusi kuwaponda na kuwadhalilisha wazazi wake ndio nitaamini jamaa haangalii sura na hayuko bias kweli.
 
Back
Top Bottom