Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
 
Bwashe unamaanisha Pascal huyuhuyu aliyeshindwa kujitabiria kushindwa na Bahati kule Kawe?

halafu na ww unafilisika mawazo kama Pascal...Bashite kweli aje kuwa rais.!?

au unamaanisha kuwa rais,kama Madee alivyo rais wa Manzese ama Mond rais wa WCB.?
 
Paul Makonda akiwa 'Rais' wa Tanzania kwa msaada wa 'Kijeshi' nilio na uhakika wa kuupata kutoka Uganda na Rwanda nitampindua haraka sana.
 
Hahaha kuwa mjinga soyo lazima kuwa wa mwisho kwenya mtihani, wapo wengi hawajawahi hatakutahiniwa kwa namna yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…