Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

Nitamshindwaje Mtu ambaye 'Watutsi' tumemuweka hapo alipo sasa na hata 'Misaada' mingine ya 'Siri' tunampa? Tanzania iko mikononi mwetu tu.
Maneno matupu hayavunji mfupa. Ulichojaaliwa ni maneno tu, matendo ziro, na pia nina uhakika huna uwezo hata wa kujaribu.
 
Kama Paskali Pascal Mayalla amesema hivyo mimi ni nani nimbishie? Kama alisema Magufuli atagombea urais 2015 ikawa kweli na pia akasema Magu atapambana na lissu ikawa kweli hivyo siwezi kubisha labda aje kukanusha.

Ahaaa ahaaa, yeye aliweza kuwatabiria wenzake lakini akashindwa kutabiri kuwa atapata kura 2 za wajumbe?
 
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Ndoto nzuri unatakiwa kabla ya kulala uoge halafu ule kwa kiasi
 
Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.

NB: Siasa namaanisha siasa chafu.

Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Una uelewa finyu kuhusu siasa
 
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.

Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2025.

Kwa sababu mgombea urais wa JMT kupitia CCM 2020 atakuwa kijana, Je utabiri wa Pascal Mayalla utatimia?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Mungu atampenda zaidi kabla ya muda huo.

Nimeangalia nyota zinaonesha hivyo.
 
Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.

NB: Siasa namaanisha siasa chafu.

Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Nilimuliza huyu mleta uzi huu
Huwa anafanyaga kazi saa ngapi?

Ova
 
Uchaguzi umeisha tunawaza siasa, uchaguzi unakaribia siasa, uchaguzi unafika siasa.

NB: Siasa namaanisha siasa chafu.

Lini tutajadili kurusha rocket & satellite, kuunda vinu vya kurutubisha nuclear, kwenda mwezini na kuunda manowari?
Sisi tunajua siasa ndio maaan tunajadili siasa, ww unayejua kurusha rocket na satellite fungua uzi wa mambo hayo tuje tujadili.
 
Back
Top Bottom