Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025


Naheshimu maoni ya Pascal na wengine napia nitaendelea kumuheshimu Dr Bashiru maana amefanya kazi kubwa ndani ya chama!

Kidumu chama cha Mapinduzi
 
Tunamfahamu sana mwana JF mwenzetu Pascal. JPM kamuacha kwenye kaubaridi na ameanza kutafuta kajoto kwa Mama. Tunamtakia la heri.
 
Usimuamini mwanadamu.

Usimtegemee mwanadamu.

Mwanadamu ni kiumbe anaeweza kukubadilikia wakati wowote ule.

Mungu pekee ndie wakumtumainia.
 
Bashiru alijitapa sana alipoteuliwa kuwa kk,,,, na akasema hiyo ndio nafasi yake ya juu kiuongozi na hataki uteuzi mwingine wowote....hata akitolea hataki nafasi ingine.......nlitamani akatae ubunge......
 
Proverbs 25: 3
You never know what a king is thinking; his thoughts are beyond us; like the heights of the sky or the depths of the ocean.

Hapo kwenye king weka queen na his weka her.
Bashiru CCM anachukiwa na majizi na mafisadi ambao hawana nguvu hiyo kwa kizazi hiki cha Watanzania wa sasa waliojitambua baada ya kuongozwa na Hayati JPM miaka 5 na miezi 5.

Lakini tulivyokuwa tuna sikia kelele hapa jF za katibu mkuu hazina nani alijua leo tungesoma hapa hapa jF habari za mkwe?

Kama yuko mtu anaye under rate nguvu za Bashiru ndani ya CCM ni wa kumuonea huruma sana tu.
 
"Aliandaliwa kuwa Rais", inazidi kuthibitika sio wananchi wanaoamua nani awe Rais wa hii nchi, ni kikundi kidogo cha watu ndio kinatuchagulia Rais wamtakaye.

Watanzania tunahitaji Katiba Mpya sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Dr. Bashiru Ally katemwa kabisaa na Mhimili wa Rais - Executive, karushwa kwenye Mhimili mwingine kwa Ndugai - Legislative. This is more than serious kwa Bashiru Ally!!!!...yaani Serikali imeamua kumrusha kuleeeee, hawamtaki kabisa kufanya nae kazi.

Dr. Bashiru Ally ujitafakari sana kuhusu hili, kukuteua kuwa Mbunge hiyo ni danganya toto tu wameona wakuonee huruma kidogo.

😆😆😆😆😆 nikiwa na Dr. Bashiru Ally Mlimani UDSM tukiwa tunafundishwa na Prof. Rwekaza Mkandala somo la Public Administration Organization - Theory and Practice, alituambia kuwa pale mtumishi unapofikia ngazi ya juu sana ktk Uongozi wa Umma na ikatokea Muhimili ulikokuwa unafanyia kazi ukatemwa kwa kuwa trasferred kwenda kwenye Mhimili mwingine unatakiwa ujitafakari sana.

Dr. Bashiru Ally Kakurwa hebu jitafakari kama tulivyofundishwa na Prof. Rwekaza S. Mkandala pale UDSM enzi hizo!!!
 
Maoni binafsi, inaweza kuwa kwela au laa, ila kwa uzoefu wa hapa kwetu na nchi zingine , mtu yeyote anaepinga ufisadi huchukiwa sana, hiyo ni duniani kote, sauti ya mafisadi ni kubwa mno hata kutishia serikali iliyopo madarakani, na mbinu zao ni kubwa.
 
Paschal ni jamaa yetu natoa ushauri tumchangia angalau kidogo maana hali yake kifedha siyo nzuri sn, ndiyo maana haeleweki tena kama kabla ya 2018, sasahivi amekuwa akiishi kwa kufuata upepo ili aweze kujikimu. Ni wazo langu
 
Huyu Mtu alichukiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…