Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

There's always next time... Pascal can somersault and make unexpected come back!!!
Oh yes, Pascal anaweza ku-somersault au ku-loop like hydra
What a bunch of crap!!! Hata aibu huna - hizi Mickey Mouse stories unazo tuletea hapa umezitunga tu kutaka kufurahisha baraza.

FYI rabid hatred zenu kuhusu Dk.Bashiru hazitawafikisha popote,labda niwakumbushe kitu - leo hii tumeshuhudia standing ovation wakati Dk.Bashiru anakwenda kula kiapo Bungeni - what does that tell you? Ni wazi anakubalika kwa wana CCM ndani na nje ya Bunge pamoja na uraiani - kundi linalo mchukia Bashiru lina kuwa driven na kuogopa msimamo wake wa kiitikadi ambao hauna tofauti na JPM na Baba wa Taifa vile vile zoezi lake la kunusuru mali za CCM zilizo kuwa zimeporwa na kumilikishwa na mafisadi papa ndani ya Chama tawala hao ndio wamepania kumukomoa kwa kumjengea hoja zisizo kuwa na mantiki - akili zao zipo kwenye chaguzi za 2025 wanaona wamu-cut to size kabla ya 2025 kwa kuwa anaonekana atakuwa tishio kwenye kinyanganyilo come 2025, ukiwa na jicho la tatu utagunduwa kwamba hilo ndilo ni bone of contention mengine ni danganya toto tu.
 
Hahahahaa nyumbu anamshangaa mamba
Yaani wewe unaweza kujua faida yako hapa duniani bali pascal asiijue?

Basi kama ni hivyo, nyumbu mmejitambua sasa hamtaliwa na mamba.
Paschal hana jipya ni njaa tu inamsumbua hajui hata anafanya nini hapa duniani
 
Mchumia tumbo huyo, ajaanza tuu kujipendekeza pendekeza kwa mama?? Teuzi za jiwr zilimpitia mbali
 

Huyu mwamba angalipo? Hana habari mpya zozote kuhusiana na lile genge letu pendwa la kwetu?

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…