Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

Ni maono ya ndugu yetu Pascal Mayalla kwa ndugu Bashiru. Na ana amini Bashiru alikua chaguo sahihi kwa nchi ila alichukiwa na wengi ndani ya CCM sababu alitoka from nowhere, ila alikua kipenzi cha Mwendazake
Bashiru amekitendea haki Sana Chama cha mapinduzi na kukitoa katika meno ya wenye meno!! Ila sina uhakika yeye mwenyewe alikuwa safi kiasi gani? Tatizo liko hapo! Ila huwezi kujua mahesabu ya mama! Kwa kuchaguliwa kuwa mbunge, kutokea hapo anaweza kupaishwa nafasi yoyote hata kuwa PM Nani ajuaye? Ila wapigaji ndani ya Chama hawana hamu naye!
 
Too cheap and unthinkable. Eti Bashiru awe rais? Kwani presidential materials zimekwisha kweli? Acheni matusi ya nguoni jamani wanangu.
 
Sijawahi kumwelewa huyo Pascal Mayalla wenu, kimsingi ni very poor analyst na ana mihemko sana
Msamehe! Hakuna aliye mjanja mbele ya njaa!! Hivi ungeweza kuamini Dr mihogo kugeuka kuwa upande mmoja na kijani? Kisa njaa!! Njaa ilimlazimisha Profesa Li(pu*ba) kutengua barua ya kujiuzulu! kisa atumiwe kusambaratisha kafu na mkono uweze kwenda kinywani!!
Njaa saa hii inamlazimisha Tundu Lisu aseme wanayotaka mabeberu ilí mkono uweze kwenda kinywani! Kesho tukisikia Tundu Lisu kawa mwenyekiti wa LGBT hatuwezi kushangaa!!
 
umenena yalio ya kweli kabisa..
alianza kwa kumponda magu kisa alimpiga chininyule mkurugenzi wa epza. ilipofika zamu yake na yeye kunyooshwa, akaanza kusifia kwa uwongo na kuliko pitiliza, magu akamvutia handbrake. sasa anahamishia magoli kwa mama kwa kumpamba kiunafk
 
Samahani mkuu ,2025 si mama anaendelea au ?
 
Bila katiba mpya yote ni ubatili
 
Hayati alitaka kuendeleza ukanda, afadhali hatunaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…