KAYAFA MKUU
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 242
- 297
Duh we jamaa una roho mbaya sana,tazama sasa dua lako limemkuta jamaa.Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.
Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF
Uchaguzi 2020 - Wana JF, Nipeni Pole!, Msinicheke, Wala Msinibeze, Nimegombea Ubunge Kawe Kupitia CCM, Nimeambulia Kura 0!. Ama Kweli CCM Ina Wenyewe!
Ni njaa tu mkuu,maana kila kitu kimegota Kawe pagumu sana sidhani kama atapenya.Huyu Mayalla mapenzi na ccm yameanza lini?, au tuamini njaa( mayala) ndio imempeleka kwenye siasa za maslahi binafsi
Kapewa kura sita.Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.
Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF
Uchaguzi 2020 - Wana JF, Nipeni Pole!, Msinicheke, Wala Msinibeze, Nimegombea Ubunge Kawe Kupitia CCM, Nimeambulia Kura 0!. Ama Kweli CCM Ina Wenyewe!
Wajumbe hapo ukitaka wakuelewe vibaya taja miaka hiyo 20 iliyopita unayoongelea kinachowajia wajumbe kichwa ni kuwa huyu mayala ni kibabu kizee kinaongelea mambo ya miaka 20 iliyopita kizee kikongwe hiki watakunyima kura .Hakujiandaa.
Halafu nimefuatilia mitandaoni hicho kipindi kilifutwa sababu Mayala alikuwa akialika watu wanaiponda serikali ya CCM.MZEE MENGI AKAAMUA KUKIFUNGA ASIGOMBANE NA SERIKALI
We umekula maharage ya wapi? Kwani hapo ni kwenye kamati ya siasa ya wilaya?Kwa akili yako ya ufipa unadhani mtu aliyepo kwenye kamati ya siasa ya wilaya asifahamu kipidi cha kitimoto?? Tafadhali sana.
Askofu Gwajima, Mungu amejibu maombi yako uliyoyakiri mbele ya Kondoo wake. Kugombea Ubunge ni kujishusha. Wewe endelea tu kuwa Mtumishi wa Bwana na walinde vyema kondoo wake.Amepata kura 2,
Alieongoza kura za maoni kawe ni 1.Furaha Jacobo 101,2.Angela Kiziga 85,Askofu Gwajima 79[emoji6]
Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF.
Inamaana wapiga kura ni watoto under 18 wasifahamu kitimoto??
anaweza hata kupata ZERO mshenzi huyu wa allah
Bado ana nafasi kwa kuwa ameingia tatu bora, anaweza kuteuliwa na Kamati Kuu kupeperusha bendera Kawe, maneno haya tuyaweke akiba mpaka mwisho wa Mchakato.Askofu Gwajima, Mungu amejibu maombi yako uliyoyakiri mbele ya Kondoo wake. Kugombea Ubunge ni kujishusha. Wewe endelea tu kuwa Mtumishi wa Bwana na walinde vyema kondoo wake.
Wasioijua CCM...Jamaa yangu Pascal Mayalla lazima amwagwe kwa kishindo uchaguzi maoni CCM Kawe baada ya kujiita KITIMOTO eti kwa vile aliendesha kipindi cha KITIMOTO miaka zaidi ya 20 iliyopita wakati wengi walikuwa hawajazaliwa miongoni mwa wapigakura humo ukumbini.
Nani mshauri wa huyu mtaka ubunge aliyempotosha? Mayalla asije ambulia kura 2 akatulilia hapa JF
Uchaguzi 2020 - Wana JF, Nipeni Pole!, Msinicheke, Wala Msinibeze, Nimegombea Ubunge Kawe Kupitia CCM, Nimeambulia Kura 0!. Ama Kweli CCM Ina Wenyewe!