Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Unahusika kwa namna moja au nyingine juu ya kifo cha mama kabendera. Furahi basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanaompinga mayalla so ndo wale wale vibaraka, kila mtz mwenye nia njema na Tz hawezi ku-expose mambo ya ndani kwa maadui. Jeshini hao huwa hawana uhai
Watu wakipotezwa, wakiuawa, tukae kimya kwa kumlinda nani? Unaweza kutueleza katika zile makala za lile jarida ni zipi za uongo? Wewe utajisikiaje kesho unaamka mumeo katekwa kauawa au mama yako katekwa kauawa na hakuna taarifa yeyote ya kiuchunguzi?

Wewe utajisikiaje umeolewa unaambiwa hakuna kupeleka sherehe nyumbani na badala yake ukishavalishwa Pete na shela mkishatoka kanisani uvue shela lako uende nyumbani ukapumzike na mumeo?

Au utajisikiaje jimboni kwenu maendeleo hayafiki kwa vile mlichagua upinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann
Kwann Unatuhumu serikali kuhusu utekaji??? Unaushahidi utuwekee hapa au ni hisia zako tu, wanaouawa umejiridhisha ni serikali inayohusika? Weka ushahidi hapa. Mm hauwezi kuniaminisha uongo usio na evidence, hizo ni tuhuma tu ambazo siyo Mara ya kwanza kuzisikia toka awamu za nyuma.
 
Based on Kifo cha Akwilina, ainisha kosa la kina Mbowe na usafi wa polisi waliopiga risasi juu ikakata kona ikajikuta imeua abiria kwenye gari then tuje tumalizie na la Mayalla!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mtu anawajibika na maneno yake, mi namuwajibisha aliyesema Paskal ni mbaya, ya Akwilina kamuwajibishe aliyeyazungumza! Hii ni rahisi sana
 
Hili suala nadhani lifike ukomo. Tuhuma zimetolewa na ndugu yetu Pascal kaamua kujibu tuhuma hizo kwa uwazi kabisa.
Tusimbebeshe tuhuma nzito bila ushahidi na ubaya wa Mganga DPP wala sio haki kumpatia mwingine. Kabendera kaandika kwa magazeti hayo ya nje alio ona ni ukweli. Kama uongo serikali ilipaswa kukanusha na kusemea ukweli wake, au kumshtaki Kabendera kwa makosa halisi na sio kutafuta kubambika makosa yasiyo na dhamana kwa kusudio LA kumkomoa.
DPP analofanya ni uhalifu mkubwa sana, eitha katumwa au kajipanga.
 
Wewe uwekewe ushahidi nani nakuweka kuwa mwamuzi...? Are you the court foolish..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili namtetea Paschali Mayala, aliyemchongea atakuwa yule marehemu wa hazina ambaye inasemakana kajinyonga, japo ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa aliuliwa kabla ya kutundikwa mtini, inawezekana pia mayala naye ni mmoja wa waandishi wa hilo gazeti, huwezi jua, lakini kumchongea mtu sizani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…