johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Alikuwa anaichambua siku ya wanawake duniani!_"Be aware" Pascal at work!
Mpinge kwa hoja usilete viroja bwashee!Pascal Mayalla anatafuta u DC siwezi kumshangaa
njaa mbaya sanaMwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
I
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo naye kishawekwa kwenye kundi la wanawake?? Namwonea huruma sana Paskali. Nasema ukweli; Nilikuwa shabiki wake sana. Hakuna uzi alioandika/changia nikaacha kuzoma kila neno. Mwanzoni alikuwa poa sana, mtema nondo kweli kweli. Alipoona kuwa asipojikomba atasahaulika; na hii ndio kweli. Akaanza kujikomba komba hadi kusema/kuandika kikolomije angaloa akumbukwe. But, it's too late Pascal. No more nominations labda usali sana wapunguzwe na kifoAlikuwa anaichambua siku ya wanawake duniani!
Kama viko chini ya rais basi vinawajibika kwa rais hivyo havina maamuzi yake kama taasisi huru. Nimekuteua mimi mshahara nini kulipa mimi, nyumba na gari nimekupa mimi halafu nisikie umemtangaza mpinzani ameshinda utanitambua.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Wapi nilipomtukuza?Mayalla yeye ni nani hadi unamtukuza hivyo? Anachofanya Mayalla ni kulazimisha sauti yake imfikie mh Rais ili amjulie angalu
In God we Trust
Atoe unafiki wake yeye nani wa kumpangia Mbowe masharti? Ukabila tu.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Inawezekana kabisa huyu yohanambatozaji ndiye pasikoMayalla yeye ni nani hadi unamtukuza hivyo? Anachofanya Mayalla ni kulazimisha sauti yake imfikie mh Rais ili amjulie angalu
In God we Trust
Ataupata tu ngoja mipango ikae sawaPascal Mayalla anatafuta u DC siwezi kumshangaa
Hahahaaaaaa........ Mpingeni Pascal kwa hoja makamanda!