Yaani huyo dogo Paskali huwa namuangalia nachoka kabisa, nimemuangalia asubuhi Star TV anasema tume ni huru lakini sio shirikishi, na huwa anasema hivyo kila mara hapa jukwaani! Lakini hajawahi kusema hiyo tume huru kuwa shirikishi inakuwaje. Anasema mahakama na bunge pia zipo huru na tumekubali, sasa sijui amekubali yeye na nani kuwa bunge na mahakama ni taasisi huru. Huwa ninajiuliza hivi unawezaje kutoka nyumbani kwako unaenda kwenye kipindi cha televisheni ili kupotosha kwa ajili ya kusaka maslahi binafsi? Halafu nikawa namuangalia alivyonenepa nikaishia kuwadharau watu wanene.