Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

Pascal Mayala ni mwanasheria nguli?

Basi sawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yuko sawa
kwa mujibu wa katiba livyo.
 

PM yupo sawa kabisa..kwa misingi ya katiba iliyopo katiba inaruhūsu....so rais yupo sawa...kama tunataka manadiliko lazima tupiganie mabadiliko ya katiba...hapo tutashinda...ila kwa katiba iliyopo hamna namna...
 

Kaka hamna mahali PM alipokosea mbona...labda nakushauri urudie andiko hapo juu utaelewa...katiba tuliyonayo inampaka nguvu kuna raisi...so chochote anafanya ama kuamua..ni katiba inampa hiyo nguvu...sasa mpango mzima siyo kumvimbia PM ila ni kupigania katiba mpya..itakayo mpunguzia nguvu preseee
 
Pascal Mayala ni mwanasheria nguli?

Basi sawa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Pascal Mayala alishakuwa compromised na ukabila, yeye kila kitu ni Magu-focused. Anajitahidi kweli kujipendekeza lakini nashangaa mpaka sasa kwa nini Magu hampi hata ukuu wa idara fulani...

Tukirudi kwenye hoja yake mfu, kudai kwamba kila kitu katika muundo wetu wa utawala Ni Rais, Ni sawa na kuhitimisha kuwa tuna utawala wa kifalme, ambapo mfalme ndiyo msingi wa kila kitu.

This is a very dangerous assertion. Kumbe ndiyo maana jamaa ana act kama mfalme wa nchi, na chama chake wanajiona watawala milele...

Tuamke!
 
Huyo Mayalla mpuuzi kweli, eti anamtaka Mbowe siku yake ikifika aende bila kuweka masharti, nani kamwambia Mbowe atakuwa na masharti? Mayalla ni mnafiki sana, anajipendekeza kwa watawala tena akiwa studio za Star Tv ambayo mmiliki wake ni kiongozi wa CCM Mwanza.

Mayalla katamka huo upuuzi ili Mbowe asipoitwa/kwenda ikulu ionekane Mbowe aliweka masharti, hata kama Mbowe hataitwa/kupewa mualiko. Mayalla ni wa hovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kuna kitu watz hatuelewi sijui au pengine kweli wengi wewe ni mambumbu...kuna vitu presee anafanya siyo kwa mabavu bali katiba inampa hiyo nguvu...na ndo namna wanasiasa wengi hukimbilia mahakamani kuomba ufafanuzi kisheria...so kila kitu lazima tupinge..wakati mwingine busara tu itumike...PM anasifu kazi ya raisi kwa sababu ni kweli anasimamia katiba aliyoapa kuilinda...au wenzetu mnakatiba nyingine...

Ndio maana taasisi yoyote lazima iwe na ama katiba,memart au by-law za kuziongoza ili kuweza kuweka mipaka ya nguvu za viongozi...Nchi nayo ni taasisi na ndio maana tuna katiba
 
Hahahaaaaaa........ Mpingeni Pascal kwa hoja makamanda!
Wewe unaona kuna hoja hapo? Huyu ameongea kwa kujitoa ufahamu, na hajafanya kwa bahati mbaya.

Hivi mtu wewe ukimwambia kuwa Tanzania ipo Ulaya, halafu yule mtu akakujibu, 'acha upuuzi', unaweza kumjibu huyo mtu, ajibu hoja?
 
Huyu Paskal ni nani katika Siasa za Tanzania? Ndio huyo anaombewa teuzi kwenye Mitandao? Watanzania sio Wapumbavu Wanataka Tume Huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…