Marshall plan
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 644
- 980
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Nia yake imekuwa kujaribu kuandika kwa kuwaridhisha tu watawala ili angalau wamuone kwenye teuzi zaoMwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hata mi namwonea huruma sana huyu P sijui alikutana na nini kule kwenye kamati yaani amegueka degree 180 bora aachane kabisa na politiki, awe anajielimisha tu komenti za watu kama akina sisi. Kuna tofauti kubwa P wa kabla ya kamati na baada.Kwa hiyo naye kishawekwa kwenye kundi la wanawake?? Namwonea huruma sana Paskali. Nasema ukweli; Nilikuwa shabiki wake sana. Hakuna uzi alioandika/changia nikaacha kuzoma kila neno. Mwanzoni alikuwa poa sana, mtema nondo kweli kweli. Alipoona kuwa asipojikomba atasahaulika; na hii ndio kweli. Akaanza kujikomba komba hadi kusema/kuandika kikolomije angaloa akumbukwe. But, it's too late Pascal. No more nominations labda usali sana wapunguzwe na kifo
Mkuu nikikwambia kuwa katiba ya Tanzania huijui ndio maana humuelewi Pascal, nitakuwa nakosea kweli??Yaani huyo dogo Paskali huwa namuangalia nachoka kabisa, nimemuangalia asubuhi Star TV anasema tume ni huru lakini sio shirikishi, na huwa anasema hivyo kila mara hapa jukwaani! Lakini hajawahi kusema hiyo tume huru kuwa shirikishi inakuwaje. Anasema mahakama na bunge pia zipo huru na tumekubali, sasa sijui amekubali yeye na nani kuwa bunge na mahakama ni taasisi huru. Huwa ninajiuliza hivi unawezaje kutoka nyumbani kwako unaenda kwenye kipindi cha televisheni ili kupotosha kwa ajili ya kusaka maslahi binafsi? Halafu nikawa namuangalia alivyonenepa nikaishia kuwadharau watu wanene.
Unaposema mwanasheria nguli una maanisha nini? Alisha wahi kwenda hata law school? Je alisha wahi hata kushinda hata kesi moja?Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu nikikwambia kuwa katiba ya Tanzania huijui ndio maana humuelewi Pascal, nitakuwa nakosea kweli??
Upumbavu mtume!!!.Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Uwe unamshirikisha mzee Mgaya kabla hujaandika...vinginevyo tutahisi una Corona...Tume Huru haiwezi kuwa sawa na Mhimili wa Mahakama ama Bunge. ..[emoji41]Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani na amemtaka mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe zamu yake ikifika aende bila kuweka masharti yoyote.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Huo ujuaji wako ndio unao kuponza, we Kama kweli unajua katiba kama unavyodai hapo, unashindwa vipi kujua nguvu kubwa aliyopewa rais na hiyo katiba.?Huna lolote unaloweza kuniambia kuhusu katiba ya nchi hii. Najua kabisa kunachofuatwa ni kile kinachomfurahisha rais. Mfano halisi, JWTZ imetengwa kabisa kikatiba na siasa. Lakini Magufuli alipokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi huko Arusha, na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Ni vyema ukakaa kimya boss.