Unasemeje
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 249
- 923
Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.
Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata elimu ndivyo unavyozidi kupishana na pesa.
Andiko hili ni mahsusi kukukumbusha kuwa una muda mfupi wa kutumia jina lako kubadili maisha yako, teuzi achana nazo maana kila kada anazitolea macho, wewe njoo pm nikwambie kitu, utanishukuru sana.
Cha msingi uwe na uwezo wa kuwa na ofisi inayofikika Dar, kampuni najua tayari unayo. Baada ya miezi 3 usipoanza kushika pesa ukanishtaki.
Wewe sio wa kuhangaika na maisha wakati una audience kubwa nyuma yako.