Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.

Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata elimu ndivyo unavyozidi kupishana na pesa.

Andiko hili ni mahsusi kukukumbusha kuwa una muda mfupi wa kutumia jina lako kubadili maisha yako, teuzi achana nazo maana kila kada anazitolea macho, wewe njoo pm nikwambie kitu, utanishukuru sana.

Cha msingi uwe na uwezo wa kuwa na ofisi inayofikika Dar, kampuni najua tayari unayo. Baada ya miezi 3 usipoanza kushika pesa ukanishtaki.

Wewe sio wa kuhangaika na maisha wakati una audience kubwa nyuma yako.
Akajiunge na CIA,atapata mtaji wa biashara kama camouflage, bora awe mwaminifu tu kama minion na moron wao katika kuisaliti Tanzania na watu wake.😄😄😄😄😄😄😄..........😂😂😂😂😂😂😂➡️♏♏♏♏♏☮️☮️☮️☮️⭐⭐⭐⭐⭐⭐👌👌👌👌👌👌🤘🤘🤘🤘🤘........Namuona Paschal akiwa state capture tool, ha,ha,ha,ha,ha......
Paschal Mayalla, are you ready???????
 
Akajiunge na CIA,atapata mtaji wa biashara kama camouflage, bora awe mwaminifu tu kama minion na moron wao katika kuisaliti Tanzania na watu wake.😄😄😄😄😄😄😄..........😂😂😂😂😂😂😂➡️♏♏♏♏♏☮️☮️☮️☮️⭐⭐⭐⭐⭐⭐👌👌👌👌👌👌🤘🤘🤘🤘🤘........Namuona Paschal akiwa state capture tool ha,ha,ha,ha,ha......
Hahahaaa
 
Back
Top Bottom