Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.

Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata elimu ndivyo unavyozidi kupishana na pesa.

Andiko hili ni mahsusi kukukumbusha kuwa una muda mfupi wa kutumia jina lako kubadili maisha yako, teuzi achana nazo maana kila kada anazitolea macho, wewe njoo pm nikwambie kitu, utanishukuru sana.

Cha msingi uwe na uwezo wa kuwa na ofisi inayofikika Dar, kampuni najua tayari unayo. Baada ya miezi 3 usipoanza kushika pesa ukanishtaki.

Wewe sio wa kuhangaika na maisha wakati una audience kubwa nyuma yako.
Ndugu Pascal Mayalla unaweza kuhisi ni utani, ila namaanisha.
 
Babu wa Loliondo alipiga goli la ushindi wakati ambao mechi ilionekana kama imeisha.

Rodrigoooo. 89'

Rodrigoooo. 90'

Guardiola akashika kichwa
Kabisa, Yule mtoto wa nyererere mkuu wa wilaya manyara mzee, Mayalla hampati kiumri, mrisho mpoto katoka mtu mzima tu, pesa Haina umri.
 
Tunapasha chai tunaipoza halafu tunaipasha tena.

Yani kiufupi waafrika hatujui tunataka nini
 
Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.

Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata elimu ndivyo unavyozidi kupishana na pesa.

Andiko hili ni mahsusi kukukumbusha kuwa una muda mfupi wa kutumia jina lako kubadili maisha yako, teuzi achana nazo maana kila kada anazitolea macho, wewe njoo pm nikwambie kitu, utanishukuru sana.

Cha msingi uwe na uwezo wa kuwa na ofisi inayofikika Dar, kampuni najua tayari unayo. Baada ya miezi 3 usipoanza kushika pesa ukanishtaki.

Wewe sio wa kuhangaika na maisha wakati una audience kubwa nyuma yako.
Em angalia na ya kwangu mkuu, 😁
 
Sidhani kama watu wote wanatumia wingi wa pesa kama kipimo cha mafanikio yao. Watu wengine hawahitaji pesa nyingi, wanataka furaha na amani tu.
Kosa hata hela ya bando ndio utajua haujui ulisemalo
 
Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi.

Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata elimu ndivyo unavyozidi kupishana na pesa.

Andiko hili ni mahsusi kukukumbusha kuwa una muda mfupi wa kutumia jina lako kubadili maisha yako, teuzi achana nazo maana kila kada anazitolea macho, wewe njoo pm nikwambie kitu, utanishukuru sana.

Cha msingi uwe na uwezo wa kuwa na ofisi inayofikika Dar, kampuni najua tayari unayo. Baada ya miezi 3 usipoanza kushika pesa ukanishtaki.

Wewe sio wa kuhangaika na maisha wakati una audience kubwa nyuma yako.
Wewe pesa unazo?
 
Back
Top Bottom