Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

Sawa mkuu naona unamtengenezea baba mdogo mazingira, ili baadae amkumbuke baba yake mdogo..

Nyota nayo ina matter...
 
Mali hazitafutwi na wala hazina mbinu, mali ni kama maji, hufata mkondo.

Kama haupo kwenye mkondo wa mali hata uwe mbunifu vipi ni bure tu. Na kama upo kwenye mkondo wa mali hata uwe pangoni zitakufata.

Usiumize kichwa kwa hilo.
 
Mafanikio gani Mkuu unajua Maisha ya Pascal yapo private Sana ....?

Pascal Mayalla nadhani yeye yupo na exposure na huwezo wa kuishi vizuri ila kaamua kutafta profile ya watu wamuone Mtu was wastani but I'm sure Pascal Hana shida na Pesa Kama tulivyo watz wengi mtu mwenye exposure kubwa hawezi kuwa masikini na Pascal akianza kuwa masikini sio Ajabu watz wengine tutakuwa tunakula nyasi
 
Siongelei pesa ya kula, kwa heshima aliyonayo mjini anapaswa kuwa na viwanda, trucks, migodi nk. Wakiitwa wawekezaji wakubwa anapaswa kuwepo pia.
 
Kumbe unataka kumfaidisha yeye unaleta haba halafu unamwambia aje dm umweleze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…