Ngoja aje mkuu, Pascal Mayala!MwanaJF maarufu ambaye pia ni mwanahabari na mwanasheria nguli, ndugu Pascal Mayalla ameonekana akilalamika hadharani kwamba kuna siku alimuuliza marehemu Magufuli swali gumu, akaishia kufungiwa leseni yake ya uanahabari pamoja kufurushwa kwenye ofisi aliyokuwa alifanyia kazi.
Mwanahabari huyo, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM, amelalamika kwamba baada ya kumuuliza Rais swali alianza kufuatiliwa na chawa wa CCM na hatimaye kupata misukosuko ya hapa na pale iliyovuruga kazi yake ya uanahabari. Sitaki kukupotezea muda mkuu, hebu msikilize wewe mwenyewe hapo chini ujionee jinsi anavyotia huruma:
View attachment 3602777
MAONI YANGU
Pascal Mayalla kuonewa na machawa wa chama chako, amejitakia mwenyewe. Kama unaona huko hakufai si ujiondoe haraka, kwani amefungwa kamba? Kila siku huwa tunakushauri uache msimamo wa kutetea chama ambacho hakina shukrani lakini husikii. Shauri yako!
Muda wa kujitawala upo Toka enzi za mababu zetu,shida ni watawala wetu na kikundu cha watu Wachache ambao hawataki kuguswa Kwa maslahi Yao binafsi sio Taifa!Ukiangalia kwa kina sana utaona Afrika muda wa kujitawala ilikuwa bado
Mfano enzi za Mkwawa,Lumanyika, Songea,Milambo,Mangi Sina nk!Muda wa kujitawala upo Toka enzi za mababu zetu,shida ni watawala wetu na kikundu cha watu Wachache ambao hawataki kuguswa Kwa maslahi Yao binafsi sio Taifa!
Umekataa kisha ukatoa sababu ya hoja yangu.Muda wa kujitawala upo Toka enzi za mababu zetu,shida ni watawala wetu na kikundu cha watu Wachache ambao hawataki kuguswa Kwa maslahi Yao binafsi sio Taifa!
SawaUmekataa kisha ukatoa sababu ya hoja yangu.
Wazungu waliondoka mapema sana, hawakuandaa watu kuongoza, matokeo yake wameacha chaosUkiangalia kwa kina sana utaona Afrika muda wa kujitawala ilikuwa bado
Unamuulizaje swal gumu mfalme? Hawana doa wale na haitakiw waulizwe au wakosolewe!!!MwanaJF maarufu ambaye pia ni mwanahabari na mwanasheria nguli, ndugu Pascal Mayalla ameonekana akilalamika hadharani kwamba kuna siku alimuuliza marehemu Magufuli swali gumu, akaishia kufungiwa leseni yake ya uanahabari pamoja kufurushwa kwenye ofisi aliyokuwa alifanyia kazi.
Mwanahabari huyo, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM, amelalamika kwamba baada ya kumuuliza Rais swali alianza kufuatiliwa na chawa wa CCM na hatimaye kupata misukosuko ya hapa na pale iliyovuruga kazi yake ya uanahabari. Sitaki kukupotezea muda mkuu, hebu msikilize wewe mwenyewe hapo chini ujionee jinsi anavyotia huruma:
View attachment 3602777
MAONI YANGU
Pascal Mayalla kuonewa na machawa wa chama chako, amejitakia mwenyewe. Kama unaona huko hakufai si ujiondoe haraka, kwani amefungwa kamba? Kila siku huwa tunakushauri uache msimamo wa kutetea chama ambacho hakina shukrani lakini husikii. Shauri yako!
Mimi niliiona hiyo interview na swali lako lilikuwa jepesi tu,na tatizo la wanahabari wengi ni kwamba hujiandaa kwa maswali eti magumu magumu,hiyo sio sawa,kaulizeni maswali bila kupaniaMwanaJF maarufu ambaye pia ni mwanahabari na mwanasheria nguli, ndugu Pascal Mayalla ameonekana akilalamika hadharani kwamba kuna siku alimuuliza marehemu Magufuli swali gumu, akaishia kufungiwa leseni yake ya uanahabari pamoja kufurushwa kwenye ofisi aliyokuwa alifanyia kazi.
Mwanahabari huyo, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM, amelalamika kwamba baada ya kumuuliza Rais swali alianza kufuatiliwa na chawa wa CCM na hatimaye kupata misukosuko ya hapa na pale iliyovuruga kazi yake ya uanahabari. Sitaki kukupotezea muda mkuu, hebu msikilize wewe mwenyewe hapo chini ujionee jinsi anavyotia huruma:
View attachment 3602777
MAONI YANGU
Pascal Mayalla kuonewa na machawa wa chama chako, amejitakia mwenyewe. Kama unaona huko hakufai si ujiondoe haraka, kwani amefungwa kamba? Kila siku huwa tunakushauri uache msimamo wa kutetea chama ambacho hakina shukrani lakini husikii. Shauri yako!
Sasa wewe ulitegemea marehemu aulizwe swali la kindezindezi wakati alikuwa anaminya uhuru wa watu bila kufuata sheria?Mimi niliiona hiyo interview na swali lako lilikuwa jepesi tu,na tatizo la wanahabari wengi ni kwamba hujiandaa kwa maswali eti magumu magumu,hiyo sio sawa,kaulizeni maswali bila kupania
Amekuwa kama mbuni! Kichwa amekificha kwenye mchanga halafu kiwiliwili chote kiko nje 😀Anaogopa kivuli chake mwenyewe.
KabisaUkiangalia kwa kina sana utaona Afrika muda wa kujitawala ilikuwa bado
Sio swali la kindezindezi,unauliza swali eti kwamba hili swali hawezi kujibu.Maswali huulizwa kwa niaba ya kutatua matatizo au kutaka kujua msimamo wa serikali juu ya swala fulani.Mayala aliuliza swali kujibosti.Sasa wewe ulitegemea marehemu aulizwe swali la kindezindezi wakati alikuwa anaminya uhuru wa watu bila kufuata sheria?
Kwa hiyo lile swali halikuwa na jawabu bali aliuliza tu just for the same of asking au unataka kusemaje mkuu?Sio swali la kindezindezi,unauliza swali eti kwamba hili swali hawezi kujibu.Maswali huulizwa kwa niaba ya kutatua matatizo au kutaka kujua msimamo wa serikali juu ya swala fulani.Mayala aliuliza swali kujibosti.