Swali lile madhumuni yake ilikuwa kujionesha kwamba yeye ndio muuliza maswali magumu na rais hawezi kujibu.Hilo sio lengo la uandishi wa habari.Kwa hiyo lile swali halikuwa na jawabu bali aliuliza tu just for the same of asking au unataka kusemaje mkuu?
Kweli kabisa mkuu. Ule ulikuwa utawala wa kidikteta kuwahi kutokea katika nchi hii. Wewe fikiria mtu anauliza swali tu, tena kwa nia njema, lakini ananyanganywa leseni na kufurumushwa kutoka kwenye ofisi anayofanyia kazi! Ni udikteta ulioje! Kuna watu walifukuzwa kazi kwa kisingizio cha vyeti feki wakiwa wamebakisha wiki moja tu kustaafu, wakakosa kazi, mafao na pensheni. Yule baba alikuwa na roho ya kishetani aisee!Ule utawala uliua ndoto za wengi sana na hadi leo hawajarecover, wengine walitangulia mbele za haki kwa kukosa flexibility na wengine hadi leo wanapata misukosuko hasa wale waliokomaa...
Afrika ni bara la watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria.Ukiangalia kwa kina sana utaona Afrika muda wa kujitawala ilikuwa bado
Kwa hiyo wewe unapenda waandishi wa habari wasioweza kuuliza maswali yenye tija kwa maslahi ya nani mkuu?Swali lile madhumuni yake ilikuwa kujionesha kwamba yeye ndio muuliza maswali magumu na rais hawezi kujibu.Hilo sio lengo la uandishi wa habari.
Mwafrika popote alipo, iwe Ulaya, Afrika au Asia utakuta bado ana mambo ya kijinga jinga sana.Acha tu tuendelee kuitwa nyani hadi Yesu atakaporudi.
My Lord,soma posts zangu vizuri,waandishi waulize maswali yenye kutatua matatizo ya watu,sio maswali ya kutaka kujionesha kuwa wanauliza maswali ya kutambuana kuwa mmoja wao huuliza maswali magumu,Nimeeleza jambo hili waziwazi kwenye posts zangu,vipi bro hunielewiKwa hiyo wewe unapenda waandishi wa habari wasioweza kuuliza maswali yenye tija kwa maslahi ya nani mkuu?
Mkuu sidhani kama umeisikiliza hiyo video. Hebu kasikilize kwanza video aisee! Hilo swali lina ugumu gani?My Lord,soma posts zangu vizuri,waandishi waulize maswali yenye kutatua matatizo ya watu,sio maswali ya kutaka kujionesha kuwa wanauliza maswali ya kutambuana kuwa mmoja wao huuliza maswali magumu,Nimeeleza jambo hili waziwazi kwenye posts zangu,vipi bro hunielewi
Nisikilize vizuri,lengo la swali hilo ndio maana yangu,sio ugumu wa swali huyo muuliza swali,aliuliza swali kwa kujigamba kwamba yeye huuliza maswali magumu,hiyo ndio dhamira ya swali.Badala ya kuuliza swali kwa niabya kupata udumbuzi wa matatizo yanayowakabili wananchi.Hata hivyo swala hili lishapitwa na wakati kabisa,halina maana tena na wala halitotisaidia zaidi ya kuwataka waandishi waulize maswali kwa nia ya kutafuta majawabu na sio kwa nia ya kujigamba kwamba wao ni waoMkuu sidhani kama umeisikiliza hiyo video. Hebu kasikilize kwanza video aisee! Hilo swali lina ugumu gani?
Sasa kwa mtazamo wako swali alilouliza ni gumu au jepesi?Sio swali la kindezindezi,unauliza swali eti kwamba hili swali hawezi kujibu.Maswali huulizwa kwa niaba ya kutatua matatizo au kutaka kujua msimamo wa serikali juu ya swala fulani.Mayala aliuliza swali kujibosti.
Nishajibu hilo swaliSasa kwa mtazamo wako swali alilouliza ni gumu au jepesi?
Anawafukuza wenye vyeti feki huku yeye ameiba uchaguzi sijui mwinzi mkuu ni naniKweli kabisa mkuu. Ule ulikuwa utawala wa kidikteta kuwahi kutokea katika nchi hii. Wewe fikiria mtu anauliza swali tu, tena kwa nia njema, lakini ananyanganywa leseni na kufurumushwa kutoka kwenye ofisi anayofanyia kazi! Ni udikteta ulioje! Kuna watu walifukuzwa kazi kwa kisingizio cha vyeti feki wakiwa wamebakisha wiki moja tu kustaafu, wakakosa kazi, mafao na pensheni. Yule baba alikuwa na roho ya kishetani aisee!
Sio kama ni uzi aliouanzisha mwenyewe? 😎😎Namuona tu mhusika mwenyewe anapita kimya kimya kwenye huu uzi wake alioanzishiwa.
Kwanini unasema hivyo mkuu? Wewe unataka watumishi wote wa umma wa resign kwa manufaa ya nani?hii nchi, kuna haja ya siku moja kuwauliza watumishi wa umma, wapo katika vyeo na ngazi mbali mbali kwa mamlaka ya nani na wapo pale ili wamtumikie nani!!!!!!???
Wengine wanakula pyupyu.MwanaJF maarufu ambaye pia ni mwanahabari na mwanasheria nguli, ndugu Pascal Mayalla ameonekana akilalamika hadharani kwamba kuna siku alimuuliza marehemu Magufuli swali gumu, akaishia kufungiwa leseni yake ya uanahabari pamoja kufurushwa kwenye ofisi aliyokuwa alifanyia kazi.
Mwanahabari huyo, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM, amelalamika kwamba baada ya kumuuliza Rais swali alianza kufuatiliwa na chawa wa CCM na hatimaye kupata misukosuko ya hapa na pale iliyovuruga kazi yake ya uanahabari. Sitaki kukupotezea muda mkuu, hebu msikilize wewe mwenyewe hapo chini ujionee jinsi anavyotia huruma:
MAONI YANGU
Pascal Mayalla kuonewa na machawa wa chama chako, amejitakia mwenyewe. Kama unaona huko hakufai si ujiondoe haraka, kwani amefungwa kamba? Kila siku huwa tunakushauri uache msimamo wa kutetea chama ambacho hakina shukrani lakini husikii. Shauri yako!