Pascal Mayalla: Nilimuuliza Rais swali gumu wakanifungia kufanya kazi ya uanahabari

Ule utawala uliua ndoto za wengi sana na hadi leo hawajarecover, wengine walitangulia mbele za haki kwa kukosa flexibility na wengine hadi leo wanapata misukosuko hasa wale waliokomaa...
Kweli kabisa mkuu. Ule ulikuwa utawala wa kidikteta kuwahi kutokea katika nchi hii. Wewe fikiria mtu anauliza swali tu, tena kwa nia njema, lakini ananyanganywa leseni na kufurumushwa kutoka kwenye ofisi anayofanyia kazi! Ni udikteta ulioje! Kuna watu walifukuzwa kazi kwa kisingizio cha vyeti feki wakiwa wamebakisha wiki moja tu kustaafu, wakakosa kazi, mafao na pensheni. Yule baba alikuwa na roho ya kishetani aisee!
 
Kwa hiyo wewe unapenda waandishi wa habari wasioweza kuuliza maswali yenye tija kwa maslahi ya nani mkuu?
My Lord,soma posts zangu vizuri,waandishi waulize maswali yenye kutatua matatizo ya watu,sio maswali ya kutaka kujionesha kuwa wanauliza maswali ya kutambuana kuwa mmoja wao huuliza maswali magumu,Nimeeleza jambo hili waziwazi kwenye posts zangu,vipi bro hunielewi
 
Mkuu sidhani kama umeisikiliza hiyo video. Hebu kasikilize kwanza video aisee! Hilo swali lina ugumu gani?
 
Mkuu sidhani kama umeisikiliza hiyo video. Hebu kasikilize kwanza video aisee! Hilo swali lina ugumu gani?
Nisikilize vizuri,lengo la swali hilo ndio maana yangu,sio ugumu wa swali huyo muuliza swali,aliuliza swali kwa kujigamba kwamba yeye huuliza maswali magumu,hiyo ndio dhamira ya swali.Badala ya kuuliza swali kwa niabya kupata udumbuzi wa matatizo yanayowakabili wananchi.Hata hivyo swala hili lishapitwa na wakati kabisa,halina maana tena na wala halitotisaidia zaidi ya kuwataka waandishi waulize maswali kwa nia ya kutafuta majawabu na sio kwa nia ya kujigamba kwamba wao ni wao
 
Anawafukuza wenye vyeti feki huku yeye ameiba uchaguzi sijui mwinzi mkuu ni nani
 
hii nchi, kuna haja ya siku moja kuwauliza watumishi wa umma, wapo katika vyeo na ngazi mbali mbali kwa mamlaka ya nani na wapo pale ili wamtumikie nani!!!!!!???
Kwanini unasema hivyo mkuu? Wewe unataka watumishi wote wa umma wa resign kwa manufaa ya nani?
 
Wengine wanakula pyupyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…