Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna tofauti kati ya kujiinua, kujikweza, kujimwambafy na kujitambua, mimi najitambua na sio kujiinua, kuhikweza au kujimwambafy.una uwezo wa kujijua lakini si kujiona waliokuzunguka ndo wanakuona kuwa usoni una tongotongo
unasemea yule paschal mayalla aliyepiga mapambio yote kwa mwendazake?Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Mkuu, ikikupendeza tujumlishie mapungufu ya balozi Mulamula.Nakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?
Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional..
Huyu mama alikutibua wapi/ lini?What do you know about penetrating the us market in any industry?
Ukitaka kuuza bidhaa yoyote ya Tanzania, US unamjua wholesaler yoyote atakaenunua, how to approach them and his quality demands? Based on Tanzania government information...
Tupo kusikiliza HUKUMURais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge...
Umemu- attack personally kama Mulamula kwa sababu zako binafsi za zamani kati yako na wewe.Nakubaliana na mchambuzi 100% kwa Bashiru, but what has Mulamula done?
Just another hopeless human being winnning public support based on her qualifications but useless professional.
What has Mulamula done, kuna namna tumejifunza ya kupambana na US politics or influence in Tanzania kwa ushauri wake.
How best to attract US investors in Tanzania based on her advice?
How to influence our policies in US government for the benefit of Tanzania?
Mulamula is just another useless diplomat.
Samahani mkuu... hivi wewe ni mrangi?Hakuna assumptions mkuu kikutokacho mdomoni ndio wewe sasa hii nchi ikiwa na watu vigeu geu kama wewe tutafika kweli alafu huoni aibu kusema unavyosema ? hivi hizi shule mnadomaga zinawasaidia nini kama mtu huwez simama na jambo lako moja ulilosema.
Ni vizuri mkuu ukaandika summary ya hayo mazungumzo tukasoma hapa woteHii ni yesterdays news!
PUbunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? – DW – 01.04.2021
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...p.dw.com
Kwa vile mimi ni mwandishi wa habari wa print, habari ninazoandika ndizo naleta humu in print format.Ni vizuri mkuu ukaandika summary ya hayo mazungumzo tukasoma hapa wote
Samahani mkuu... hivi wewe ni mrangi?
Angalizo:
(Nauliza mrangi kabila na wala siyo 'mrangi' member maarufu wa JamiiForums)
Talk of " flexibility ".
Kuwa flexible thinker sio kuwa kigeugeu
Halafu amegeuka siku chache baada ya mabadiliko ya uongozi wa nchi. Ni bora angegeuka wakati mwendazake yu hai, ingeleta maana kidogo.
MkuuRais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Mnafiki tu huyu na msaka-uteuzi. Enzi za mwendazake alikuwa akisifu na kuabudu kuwa hajawahi kutokea kiongozi mwenye maono kama huyo. Leo anaponda utawala wake na kumsifia Mama aliyeko madarakani!Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.
Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?
Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Povu la nini sasa?Huna huo uwezo fala wewe wa kuongea na mimi kwenye hoja. Try me?
SawaKwa vile mimi ni mwandishi wa habari wa print, habari ninazoandika ndizo naleta humu in print format.
Kwa vile mimi ni mwandishi wa habari mtangazaji wa redio, habari ninazoandika kwa ajili ya redio, siandiki summary, bali huleta audio clip, anayetaka kusikia nimesema nini ni lazima asikilize hiyo audio clip- Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? | DW | 01.04.2021
Kwa vile mimi ni mwandishi wa habari mtangazaji wa TV, habari ninazoandika kwa ajili ya TV, naleta humu in video format, anayetaka kusikia nimesema nini kwenye TV, ni lazima aangalie Video Clip.
P.